olame ndame
Member
- Mar 11, 2016
- 29
- 17
Hilo sio jiko ni mke.jiko linanubuliwa sokoni,ni kitu.
Ni tetesi ya kweli.Sio tetesi ni Kweli
Ni kweli mkuu ndoa za kiislam nafuu sana ushindwe kuoa kwa sababu nyingine sio ya "SALIO"Ndoa za kiislam bajeti ya laki moja na chenji inabaki
mkuu wewe hukosoma nahau ya 'amepata jiko' ulipokuwa primary?Hilo sio jiko ni mke.jiko linanubuliwa sokoni,ni kitu.
Wizi mtupuAhahaha Chap Chap , wakiristo harusi kama uwekezaji
Taarifa zilizopo ni kwamba Mwana FA leo anachukua jiko. Hongera sana Hamis tunaomba utoe nyimbo nyingine sasa ya kusema umeshaoa no bado nipo nipo no more.
View attachment 353980
View attachment 353981
View attachment 353982
hongera yake kwani hana mtoto?
waliishtaki kampuni ya tigo kwa kutumia nyimbo zao {masuala ya hakimiliki} bila makubaliano, wakawataka wawalipe fidia ya tsh 2 b. sijui kesi yao kama walishinda , sikufuatilia zaidi.Sijakusoma mkuu,
Bilioni 2 za tigo ni zipi hizo?
So unataka kusema demu kakubali kuolewa kwa kuwa kuna 2bn inakaribia mlangonwaliishtaki kampuni ya tigo kwa kutumia nyimbo zao {masuala ya hakimiliki} bila makubaliano, wakawataka wawalipe fidia ya tsh 2 b. sijui kesi yao kama walishinda , sikufuatilia zaidi.
Jibu murua hilo ulilotoa. Age is nothing but a number. Sasa namba zimemuacha vipi huyo MwanaFA
Sasa mwanaFA unamlinganisha na kile kibabu?Wewe binti vipi mbona umekuwa incosistent; kule kwa KYLN ulikuwa unamshambulia kuwa mumewe mzee hata gemu hawezi na huku unasema umri si kitu kwani it is just a number!!! Nilikualika tuwasiliane ukaogopa ukaishia kuniomba picha!!! Acha ukilaza wako.
Sasa mwanaFA unamlinganisha na kile kibabu?
Am humble you know.... Leee mbululaaaz.Coming Soon.
Le King of All Bongo Social Media Network.
Le super harusi u kno.