Mwamvita Makamba: January hahusiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni

Kwani ulitegemewa kusema nini.Huyo si kaka yako lazima umtetee.Hata hivyo kwa mawaziri wa Kikwete that was expected.Like father like son.
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.
Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.
Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.
Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.
Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba....
 
Mwamvita Makamba....[/QUOTE]

Wengine tuliupuuza Uzi wa Mange Kimambi tukidhani ni "hekaya za mitandao"lakini kwa bandiko hili na kukili kwako kuwa sauti ni yako,ila unaipinga kwa hoja zenye uzito wa " unyoya" kuwa umerekodiwa na kulishwa maneno,sasa tunaanza kunusa harufu ya Ukweli kwenye Uzi wa Kimambi.

Ngoja niendelee kuwa na subira,bado kitambo kidogo mtanyoosha maelezo tu.
 
Tuliza mshono wew, mbona ujawashwa bdo afu unajifanya kujikuna. acha tuendelee kupata ubuyu bna then mwisho wa siku itajulikana uwongo ni upi na ukweli ni upi. weka makalio chini hku ukiwa mshuhudiaji tu.
 
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.
Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.
Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.
Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.
Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba....
Now the awakening is becoming...hukupaswa kumpuuza huyo tapeli bali kumreport mara moja kwenye vyombo husika ili achukuliwe hatua.
unaona sasa ameku outsmart
 
Waliokua wanakataa kwamba sauti siyo ya Mwamvita na sijui accent siyo ya Muitaliano kisa tu sijui mme date nao hivyo mnawajua vizuri njooni hapa mkatae pia hii kauli ya Mwamvita kwamba ni kweli aliongea nae
Hahhahahaaaa I was waiting for this moment
 
January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.
Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.
Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.
Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.
Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.

Mwamvita Makamba....

Not good enough!
 
Back
Top Bottom