Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 354
- 1,044
Heri ya pasaka.
Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka.
Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu anaonekana.
Endelea kushika Maisha ya watu kiroho, umekuwa suluhisho la mambo ya kiroho kwa watu wengi sana ndani na nnje ya nchi.
Hongera sana Mwamposa, Mungu azidi kukuinua Baba.
NB: Kuna kazi za kujitolea zinaendelea pale natoa wito kwa kijana yeyote kama una muda uko empty na huna Cha kufanya acha kukaa kijiweni twenzetu pale hata tukafagie tu, Itakuwa ni sehemu ya mchango wako katika ujenzi wa nyumba ya Bwana na utabarikiwa beyond borders, Chukua hatua ya Imani
Nawasilisha.