Mwalimu Mkuu kaeleza changamoto za shule, kapata misaada, kashushwa cheo

Unakiongea kitu usicho kijua na unatumia hisia potofu ulizo jijengea zaid kuliko tafakari ya kina mkuu .
 
Ccm wwnachangia sana kurudisha nyuma maendeleo ya taifa hili kwa sababu ya chukî za kipumbavu sana na elimu ndogo
 
Hiyo kawaida sana kwa Maafisa elimu. Mm ndio kitu kilichonifanya niache ualimu kisa wahisani. Nikasingiziwa wizi wa mamilioni. Nikaacha kazi kabisa
 
Unakosea sana. Walimu wanaoikubali ccm hawafiki hata 40% kwa sasa. Kwanza kumbuka walimu wengi ni graduate na diploma hivyo ni lizazi kipya hiki sio cha enzi za mwalmu.

Madogo huko shule wote ni upinzani. Staff ni mwendo wa mabishano ya kisiasa kwa sana. Hapo napingana na wewe. Na wanajua sana kufiatilia haki zao shida chama chao.
 
Mwenzio ndio huyo kasema ukweli lakin katumbuliwa , halafu wewe nakufananisha na mjinga ambaye katawadhwa na mamaye akiwa machanga hadi alipo pata fahamu na kujitambua halafu baada ya hapo akisha jitambua tu anamuona mama yake ni mjinga na hana maana tena kwake, maana hata jeuri hiyo ya kuandika upupu wako hapa umeipata kutoka kwa mwalimu

Pili nimekuwa mwalimu hadi nilipo achana na kada hiyo 2001 lakin kama utaweza tuwekee vyeti vyako hapa ili tujiridhishe kwamza wewe ni yule T.O wa one 7 fm4, na one 3 ,fm 6 na GPA ya 5.0 chuo ili tuungane na wewe kwa mba mwenzetu uko vizuri up stair kwa maana hujafeli

Hahahaa kwa coment zako tu humu sidhan kama ungebahatika kufika fm 4 ungeambulia hata DV O maana nadhan ungefeli zaid ya hapo kichwa chako cheupe mno kwa hoja zako mkuu

Kama upo sawa ingia pm utume vyeti vyako na mimi nikutumie chakwangu cha O level au advance ili uthibitishe kwamba walimu ni walio feli mkuu. Maana nimepitia huko.
 
Ndio maana nikwamwambia huyo dogo kuwa hana kitu kichwa mwake kwa kifupi anapost mambo ambayo anatumia zaid hisia
 
Hilo suala linahuzunisha sana. Huku wilayani Biharamulo inafika muda unajiuliza hivi hawa viongozi wa taasisi za elimu walipataje vyeo? Yaani vichwani mwao ni zero kabisa.
 
Ndio maana nikwamwambia huyo dogo kuwa hana kitu kichwa mwake kwa kifupi anapost mambo ambayo anatumia zaid hisia
Kabisa. Mm niliwahi kuwa headmaster, walimu niliokuwa nao walidiriki hadi kumpigia push up a
Afisa elimu, wakitaka zipigwe kama vipi. Huyo mtu ataipigia kura ccm? Walimu wa sasa wengi vijana na wengi ni wapinzani. Labda ndio maana serikali inawanyoosha kutokuwapa ajira
 
Awamu ya uongo hiii alafu yeye kasema ukweli..unategemea nin?wakati mkuu na mawaziri etc kutwa na matamko ya uongo ktk media.
 
sawa kabisa wacha atumbuliwe
 
Uyo mwalimu mkuu inabidi ndo apewe cheo cha uafisa elimu hali halisi inajionyesha
 
Wananchi wanaomba haki na sauti inapazwa humuuu kwa fake ID
..

Hongera kwa muandishi wa habari wa startv iringa na sahara media kwa ujumla.
 
Kama DC alisema ukweli kuwa wilayani kwake kuna njaa akaenda na maji si ajabu kwa mwalim huyu akomae tu lakin asithubutu kufanya press conference vinginevyo atakuwa napelized hadharani.
 

hawa ndio haswa wanaotakiwa kutekwa

mpuuzi sana huyo afisa elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…