yusuphfrancis
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 433
- 361
Umeongea fact mkuuItakuwa waisani waliotoa madawati ni chadema , Afisa elimu mutamuonea bure hayo ni maelekezo kutoka juu.
Tatizo ni sisi kukubali kuwa mizigo
Umeongea fact mkuuItakuwa waisani waliotoa madawati ni chadema , Afisa elimu mutamuonea bure hayo ni maelekezo kutoka juu.
Tatizo ni sisi kukubali kuwa mizigo
Unakiongea kitu usicho kijua na unatumia hisia potofu ulizo jijengea zaid kuliko tafakari ya kina mkuu .Mm huwa nikiona malalamiko ya walimu sipati huruma dhidi yao. Hawa ndiyo watu wanao ikumbatia ccm. Huwa wanatumika vibaya wakati wa uchaguzi.
Lkn pia kwa wingi wao ktk nchi hii miongoni mwa watumishi wa umma wangeweza kuishinikiza serikali kuboresha maslahi yao. Lkn kila siku wao ni kulialia tu.
Diwani, mkurugenzi na wakuu wa wilaya wakitaka kuonekana wanafanya kazi wanamnyanyasa mwalimu.
Tatizo kubwa walimu wengi walifeli, ndiyo maana hawajiamini. Sifa ya kuwa mwalimu lazima ufeli kwanza.
yuko huru sana kuomba msaada ili wale wenye uhitaji wapate huo msaada.Alidhani yuko huru. Pole zake.
Ccm wwnachangia sana kurudisha nyuma maendeleo ya taifa hili kwa sababu ya chukî za kipumbavu sana na elimu ndogoIringa kuna tatizo pale. Si hilo tu. Kuna kipindi kama miaka mitatu nyuma Mtendaji wa Kata alianzishiwa figisu hadi kusimamishwa kazi na kushushwa madaraka. Kisa kikuu ni mbunge Msigwa kufanya ziara kata hiyo ya Nduli na Mtendaji kumpokea. Ikawa nongwa akaonekana eti msaliti wa CCM. Hahahahaaa hatari sana. Watumishi kuweni makini na mabosi wenu wanafiki na madiwani wambeya hapo manispaa ya Iringa.
Hiyo kawaida sana kwa Maafisa elimu. Mm ndio kitu kilichonifanya niache ualimu kisa wahisani. Nikasingiziwa wizi wa mamilioni. Nikaacha kazi kabisaTanzania ni nchi ya ajabu sana tena sana, kuna Mkuu wa shule Iringa huko shule ya msingi Kibonzile( sina hakika na jina la shule na wilaya) kashushwa cheo kwa kosa la kuziongea changamoto za shuleni kwake.
Baada ya kuziongea wahisani wakajitokeza na kutoa misaada ya ukarabati.
Lakini katika hali ya kushangaza na ujinga wa baadhi ya viongozi tulio nao mwana mama huyo ameshushwa cheo eti amekiuka taratibu za utumishi na Afisa Elimu anajisifu kwa ujasiri kabisa, mbona swala la madawati liliongelewa kwa uwazi?
Mamlaka husika mmulikeni Afisa Elimu wa wilaya hiyo anayemuadhibu mwalimu kwa kuwa mkweli kueleza changamoto za shule yake ili ipate kurekebeshwa na kweli wahisani wamejitolea kusaidia shule hiyo.
HUU NI UNYANYASAJI AFISA ELIMU HUYO ANATUMIA VIBAYA MADARAKA YAKE.
Unakosea sana. Walimu wanaoikubali ccm hawafiki hata 40% kwa sasa. Kwanza kumbuka walimu wengi ni graduate na diploma hivyo ni lizazi kipya hiki sio cha enzi za mwalmu.Mm huwa nikiona malalamiko ya walimu sipati huruma dhidi yao. Hawa ndiyo watu wanao ikumbatia ccm. Huwa wanatumika vibaya wakati wa uchaguzi.
Lkn pia kwa wingi wao ktk nchi hii miongoni mwa watumishi wa umma wangeweza kuishinikiza serikali kuboresha maslahi yao. Lkn kila siku wao ni kulialia tu.
Diwani, mkurugenzi na wakuu wa wilaya wakitaka kuonekana wanafanya kazi wanamnyanyasa mwalimu.
Tatizo kubwa walimu wengi walifeli, ndiyo maana hawajiamini. Sifa ya kuwa mwalimu lazima ufeli kwanza.
Mwenzio ndio huyo kasema ukweli lakin katumbuliwa , halafu wewe nakufananisha na mjinga ambaye katawadhwa na mamaye akiwa machanga hadi alipo pata fahamu na kujitambua halafu baada ya hapo akisha jitambua tu anamuona mama yake ni mjinga na hana maana tena kwake, maana hata jeuri hiyo ya kuandika upupu wako hapa umeipata kutoka kwa mwalimuMkuu mwalimu wangu wa primary alikuwa hana cheti. Amenyimwa kiinua mgongo ktk zoezi la ukaguzi wa vyeti feki.
Walimu wa ngazi zote nchi hii wana hali mbaya ktk vyeti vyao ndiyo maana walimu ni waoga, hawajiamini, wanatumika na ni watu wa kulalamika tu. Jamani tuseme kweli ili tuwe huru
Ndio maana nikwamwambia huyo dogo kuwa hana kitu kichwa mwake kwa kifupi anapost mambo ambayo anatumia zaid hisiaUnakosea sana. Walimu wanaoikubali ccm hawafiki hata 40% kwa sasa. Kwanza kumbuka walimu wengi ni graduate na diploma hivyo ni lizazi kipya hiki sio cha enzi za mwalmu.
Madogo huko shule wote ni upinzani. Staff ni mwendo wa mabishano ya kisiasa kwa sana. Hapo napingana na wewe. Na wanajua sana kufiatilia haki zao shida chama chao.
Hilo suala linahuzunisha sana. Huku wilayani Biharamulo inafika muda unajiuliza hivi hawa viongozi wa taasisi za elimu walipataje vyeo? Yaani vichwani mwao ni zero kabisa.Wengi hawana uelewa hata WA mambo ya msingi katika uendeshaji WA mashule.wengi wamewekwa baada ya kununua nafasi hizo.tshs 7000000 tayari unaukwaa uafisa elimu.wahusika wafanye uhakiki WA maafisa elimu kuangalia walifikaje katika nafasi hizo.Wengi hawana uelewa wanafanya kazi kwa maigizo ,hawana ubunifu...
Kabisa. Mm niliwahi kuwa headmaster, walimu niliokuwa nao walidiriki hadi kumpigia push up aNdio maana nikwamwambia huyo dogo kuwa hana kitu kichwa mwake kwa kifupi anapost mambo ambayo anatumia zaid hisia
sawa kabisa wacha atumbuliweTanzania ni nchi ya ajabu sana tena sana, kuna Mkuu wa shule Iringa huko shule ya msingi Kibonzile( sina hakika na jina la shule na wilaya) kashushwa cheo kwa kosa la kuziongea changamoto za shuleni kwake.
Baada ya kuziongea wahisani wakajitokeza na kutoa misaada ya ukarabati.
Lakini katika hali ya kushangaza na ujinga wa baadhi ya viongozi tulio nao mwana mama huyo ameshushwa cheo eti amekiuka taratibu za utumishi na Afisa Elimu anajisifu kwa ujasiri kabisa, mbona swala la madawati liliongelewa kwa uwazi?
Mamlaka husika mmulikeni Afisa Elimu wa wilaya hiyo anayemuadhibu mwalimu kwa kuwa mkweli kueleza changamoto za shule yake ili ipate kurekebeshwa na kweli wahisani wamejitolea kusaidia shule hiyo.
HUU NI UNYANYASAJI AFISA ELIMU HUYO ANATUMIA VIBAYA MADARAKA YAKE.
Wananchi wanaomba haki na sauti inapazwa humuuu kwa fake ID ..Huyo mwalimu wa S/m Kibonzelo ktk Manispaa ya Iringa ni SHUJA,MWADILIFU NA MZALENDO.Watanzania tuungane kupinga na kupiga vita watumisha wa umma ambao wanarudisha nyuma maendeleo.Huyo Afisa Elimu aliyemshusha cheo mama huyo AFUKUZWE KAZI MARA MOJA.Huyo mama arudishwe kwenye cheo chake cha mkuu wa shule mara moja. Maafisa elimu wengi ni FEKI.Wana wivu sana pale wanapoona mwalimu fulani anafanya vizuri. Kanuni gani za utumishi wa umma? Mimi ni mwanasheria na nimespecialize kwenye Labour Law. Hiyo kanuni haipo. Huyo afisaelimu ni MWONGO. Pili, kitendo hiki ni unyanyasaji dhidi ya wanawake. Ombi:Mhesh.Kabati tunakuamini.Fanya juu chini mama huyu urudi kwenye cheo chake.Huyu ni mama wa kuigwa.Mhesh.Simbachamwene na Jaffo wananchi tunaomba haki itendeke dhidi ya dhuruma na uonevu huu dhidi ya wanawake.
Nafikiri hivi ndivyo....Itakuwa waisani waliotoa madawati ni chadema , Afisa elimu mutamuonea bure hayo ni maelekezo kutoka juu.
Tatizo ni sisi kukubali kuwa mizigo
Tanzania ni nchi ya ajabu sana tena sana, kuna Mkuu wa shule Iringa huko shule ya msingi Kibonzile( sina hakika na jina la shule na wilaya) kashushwa cheo kwa kosa la kuziongea changamoto za shuleni kwake.