Mwalimu mbaroni kwa kubaka wanafunzi 12. Amalizama na wazazi 8 'kiutu-uzima' nje ya mahakama

Daaaaaah mimi nikiwa mzazi hii taarifa imeniumiza sana. Ni muda muafaka sasa kuwa na mfumo wa siri wa kuwafuatilia walimu wanaojihusisha na mambo haya na kuchukua hatua mapema kuyazuia kabla hayajawa makubwa, yani mtu anabaka watoto wote hao na bado hajulikani mapema?! Narudia tena imeniuma sana.
 
Walimu wa shule za msingi ni kansa ya ili Taifa,Kuna mmoja huko Mkoani wa mji uliokosa bahari aliwawekea zamu wanafunzi wa darasa la saba kila mmoja ana siku yake tena ni mwalimu mkuu,nilipopata taarifa kutoka kwa jamaa zangu wanaofundisha hapo nikajifanya afisa wa kitengo nikaenda kumchimba mkwara akawa mdogo kama piritoni nikamwambia ukiludia basi nakuja kufumua huo ubungo.Alafu wakati huo mwanaume wa Daresalaam nimetia suti nyeusi huku poyoyo wa mkoani hakiachia mashuzi tu.Nashukuru kwa taarifa nilizopata jamaa kaacha kabisa kumbe ni mganga ndo alimpa masharti ili kulinda cheo cha headteacher.
 
Wazazi wa vijijini kwa kukosa uelewa juu ya haki za watoto wao, mara nyingi huafiki mambo yaishie nje ya mahakama.
 
Pamoja na Uzi kukosa mtiririko mzuri lakini kutokana na unyeti wa habari yenyewe kuna haja ya kuchangia mada.
Tatizo la rushwa ya ngono lipo kwenye vyuo na maofisini. Moja ya kazi ya TAKUKURU ni kufichua rushwa hiyo. Wanachuo wananyanyasika sana kwa suala hilo maana kuna watu huko ni miungu watu. Wanawaambia Wanachuo kuwa wameshikilia maisha yao hata kama angekuwa na uwezo kiasi gani. Hivyo Wanachuo wa jinsi ya Kike hulazimishwa kutoa rushwa ili wapone na hilo jinamizi. Wapo ambao hukataa na kuishi kwa shida au hata kufukuzwa chuo na wapo ambao hukubaliana na kuishi kwa raha na mwishowe kumaliza wakiwa vilaza.
Hili la shule ya msingi ni ubeberu kwa watoto wadogo. Kwanza tofauti ya umri na pia wajibu kwa jamii aliopewa huyo mwalimu. Kama kwa muda huo wote wazazi na wanafunzi wahanga wa huyo mwalimu walikaa kimya basi ni kwa sababu ya nguvu ya kifedha alizonazo huyo mwalimu kwa mazingira ya huko.
Serikali ilichunguzi hilo suala kwa undani na haki itendeke kwa kuwalinda watoto wasiiwachie wazazi ambao wanaweza wasiwe na ufahamu mpana juu ya ukiukwaji wa haki za watoto.
Mbunge wa sehemu husika awe ni mmoja wa watetenzi wa hao watoto kwani ni juzi tu Bunge limetoka kuopitisha mswada unahusu haki za watoto wa Kike ikiwa ni pamoja na ndoa za utotoni na kubakwa.
 
kuna miwalimu mingine inaroho mbaya sana mfyuuuu afungwe hata maisha huyoo
Huyo siyo mwalimu hata kidogo. Lakini kweli hizi shule hazina usalama na wengi wa walimu na hata wazazi ni ovyo. Inawezekana vipi jambo hili kufanyika kwa muda mrefu hivi lisigundulike? Kweli walimu wako mbali na wanafunzi na wazazi wako mbali na watoti wai. AIBUUUU
 
Walimu wa shule za msingi ni kansa ya ili Taifa,Kuna mmoja huko Mkoani wa mji uliokosa bahari aliwawekea zamu wanafunzi wa darasa la saba kila mmoja ana siku yake tena ni mwalimu mkuu,nilipopata taarifa kutoka kwa jamaa zangu wanaofundisha hapo nikajifanya afisa wa kitengo nikaenda kumchimba mkwara akawa mdogo kama piritoni nikamwambia ukiludia basi nakuja kufumua huo ubungo.Alafu wakati huo mwanaume wa Daresalaam nimetia suti nyeusi huku poyoyo wa mkoani hakiachia mashuzi tu.Nashukuru kwa taarifa nilizopata jamaa kaacha kabisa kumbe ni mganga ndo alimpa masharti ili kulinda cheo cha headteacher.
Huyo naye anstahili kuachishwa kazi na kushtakiwa.
 
Ludewa, Njombe

Jeshi la POLISI wilayani Ludewa Mkoani Njombe linamshikiria Abutte Fungo(40) ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kimelembe kwa tuhuma za kuwabaka wanafunzi wake huku akiwadharirisha kwa kuwapiga picha sehemu za siri na matiti kwa kutumia simu ya mkononi.

Wakizungumza Leo watoto hao kwenye umri kati ya mpaka 12 na 13 majina na picha tunazo wamesema kabla na baada ya kubakwa walitishiwa kuchapwa viboko, na kutishiwa kuuawa kama wangetoa taarifa kwa wazazi au mahali popote.

Kuonesha ukatiri, mwalimu huyo alimbaka mtoto mmoja Mara nane na kumlazimisha kumeza vidonge vya majira bila maji kila siku aliyofanya kitendo ili kuzuia asipate mimba.

MWALIMU alifanya vitendo hivi kati ya Oktoba na Disemba 2015 na January mwaka huu. WATOTO wanne kati ya 12 waliofika Polisi na kufanikiwa kukutana na waandishi walisema mtuhumiwa alikuwa akiwalipa pesa kati ya sh 500 mpaka 1,000 na kuongeza kuwa kila mwaka mwalimu amekuwa na tabia ya kuwabaka watoto wa darasa la 7.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Kamishna Pudenciana Protas amethibitisha kukamatwa kwa mwalimu huyo na kwamba atafikishwa mahakamani muda wowote kuanzia sasa.

Sosi: Mimi mwenyewe
Mkuu iyo shule ipo maeneo kama unaenda manda-ziwan?
 
Akiwadharirisha = akiwadhalilisha

Ukatiri = ukatili

Auliwe tu.
 
Hao nane kamalizana nao vipi kiutu-uzima..??? Eleza kwa kina.. Maana hapo ilipoishia ni kwamba jamaa atapelekwa mahakamani muda wowote (sasa kumalizana nje ya mahakama kumekujaje????).
Ila kama amefanya hayo makosa wamhurumie tu ,wampe adhabu ndogo tu kama ile ya Babu Seya
Sheria itafuata mkondo wake
Kama nilielewa vizuri ni kwamba wazazi wa watoto nane waliongea na mwalimu...labda aliwalipa pesa wakanyamaza. Waliolisanua ni hao wanne waliobaki...
 
Kama kuna watu wanaongoza kwa kutembea na wanafunzi basi ni hawa...
1. Wafanyakazi wa halmashauri
2. Vijana wa mabenki
3. Askari-aina zote
4. Walimu
5. Madereva wa bodaboda
6. Vijana wa kwenye saluni za kiume
7.Wao wenyewe
....hii ni kwa mujibu wa experience yangu huku niliko.
 
Back
Top Bottom