BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,124
Wala sina haja ya kutoa ushirikiano. Ripoti za CAG zimeandika kuhusu ufisadi mbali mbali nchini kuanzia fisadi mkapa hadi fisadi magufuli.
Wanaodai nchi hii ina utawala wa sheria basi waiache sheria ifuate mkondo wake ili wahusika wawajibishwe bila woga wala upendeleo wa aina yoyote ile.
Na huu uzi hauhusu ngada soma kwa kituo.
Wanaodai nchi hii ina utawala wa sheria basi waiache sheria ifuate mkondo wake ili wahusika wawajibishwe bila woga wala upendeleo wa aina yoyote ile.
Na huu uzi hauhusu ngada soma kwa kituo.
Zote ni dawa za kulevia.
Kuhusu fisadi, toa ushirikiano kwa mamlaka husika ili wakatwe. Uwezi sema tu flani ni fisadi then akamatwe na kushitakiwa kwa neno la mdomo.
Watu walisema mzee Eddo ni fisadi kwa miaka nane na kujisifu ushahidi wanao, hatimae wamekuja kusema sio kweli wenyewe hata bila mahakama.
Kama hizo tuhuma ni za kweli waburuzeni watu mahakamani na sio umbea wa mitandaoni