Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,336
Bado sijaelewa huu ushabiki wa "uzuri" wa waziri mteule John Pombe Magufuli unatoka wapi. Madudu yake Ardhi na Ujenzi yanarudi tena. Msidanganyike na vile vitakwimu vyake mkafikiri ni mchapakazi. Swali moja, hivi ile hasara ya samaki ilifikia kiasi gani?
wee kweli pending! Unasema madudu ya dr.magufuli? Unaweza ukawa na evidence japo moja tu kuonesha madudu ya Pombe katika maisha yake yote! Lets call a spade a spade bwn,not a large spoon! Hamna mtu mwadilifu kama magufuli ktk baraza jipya,prove me wrong! Achana na ushabiki tuseme ukweli ndugu.