Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,501
- 119,448
UDSM kuna tatizo kubwa sana
huyu ndo Mwalimu
unategemea lipi kwa wanafunzi
Kuna wakati uliwahi kusema Mwakyembe ni mbabaishaji flani.....ulikuwa sawa!
UDSM kuna tatizo kubwa sana
huyu ndo Mwalimu
unategemea lipi kwa wanafunzi
dhambi ya mabehewa feki inafanya kaziKwa mujibu wa Mwakyembe....hotuba bora kuliko zote
kabla Magufuli hajahutubia bunge ilishangiliwa mara 77 huko Marekani
ya Rais wa zamani wa Marekani
Sasa hotuba ya Magufuli imevunja rekodi hiyo...na kuifanya hotuba ya aina yake duniani
Mwakyembe kaongea live bungeni ....halafu kasema wapinzani kususia bunge wanavunja katiba
kamtaka spika aone namna ya kuwaadhibu kwa kuvunja katiba.....
Binafsi naona kama Nape ni nafuu mara 100 kulinganisha na Mwakyembe
Mwakyembe amesahau kuwa jana Chenge aliulizwa kama kuzuia mwananchi kutopata habari si ivunjaji wa katiba
Chenge hakuweza kujibu! Yaani Mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali hakuweza
Hotuba ya magufuli imepoteza mvuto baada ya kulazimishwa na CCM.
Haya maneno ya akina Mwaky ni katika kuipamba
Kushangiliwa mara 1000 hakuna uhusiano na contents. CCM wanaweza kushangilia hata mara milioni, kwao tumbo mbele taifa baadaye
Hotuba imapoteza maana kabisa kutokana na hali ya bunge ilivyo. Wanaipamba pamba na utuli inukie
Le profeseri anapojitoa akiliHuwa nakuwa na wasi wasi na elimu inayotolewa pale udsm....hivi hawa so ndo vichwa wa hicho cchuo..
goli la mkono .Mwakyembe alishindaje ubunge kwani?