kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,615
- 23,071
Yaani maswali yatungwe ikulu uje kutuzuga huku,kwanza tuyaone tujirizishe!
Vyeti anavyo labda tuseme sio vyake.Hana majibu na vyeti hana
Hapo la vyeti halipo.Kujibu Maswali 9 bila vyeti ni uonevu kwa Watanzania.
Mi mwenyewe nilikua Nina 1000 hapa nataka niongeze 1000 ninunue Kilo ya Unga wa Sembe.Tunaomba ututajie hayo maswali 9 wengine uwezo wa kunnua nipashe hatuna
hahaa si alimuuzia mwenyewe?Ila inasikitisha sana mzazi kumsomesha mwanao kwa taabu na mateso mengi umejinyima, mtoto kakulipa fadhila kafaulu vizuri mitihani yake mpaka kafikia chuo vivyo hivyo kafanya vizuri ana master yake swafi ila yupo mitaani akisugua kisigino kutafuta ajira na kuna wengine ujanja ujanja na ufigisu figisu na 0 yenye masikio na pua wapo wanakula mema ya nchi najisemeaga kwa sauti siku ya mwisho kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe
mi nachukia yule wa chattle yaani tangu alivyosema watu wapige mbizi nilimchukia na haya maneno mengine anayoendelea kukutukana ndo kabisaaaaaaa sitaki hata kumsikiaI hate Mwakyembe the same as Bashite and their 'senders"
Bora ununue unga ndugu yangu kuliko hizo habairi zinzojulikana lakini hao tulio wapa dhamana wakaweka pamba masikioniMi mwenyewe nilikua Nina 1000 hapa nataka niongeze 1000 ninunue Kilo ya Unga wa Sembe.
Bashite anajivunia 0713.Mzee kachanganyikiwa
Tunaomba ututajie hayo maswali 9 wengine uwezo wa kunnua nipashe hatuna