Mwakyembe akutana na Ney wa Mitego na kuongea na waandishi

Akili ndogo ni akili ndogo eti PHD isiyomsaidia uwazili wewe utaupata? Au baba yako? Au familia yako? Muwe mnatafakari kabla ya kuandika
Watu kama hawa hutakiwi kubishana nao no kuwaacha wabaki na ujinga wao
 
Akili ndogo ni akili ndogo eti PHD isiyomsaidia uwazili wewe utaupata? Au baba yako? Au familia yako? Muwe mnatafakari kabla ya kuandika
Acheni matusi humu, halafu uwaziri wake unatokana na ubunge na wala sio PhD. yake
 
Mimi nina umri mkuwa sana kuliko Ney wa Mitego, nina uzoefu mkubwa katika shughuli za umma, lakini niseme kweli, kijana huyu amenifurahisha sana kwa uwezo wake alionao na hasa ujasiri wake. Anajua anachokifanya, anayo maono, hakika amezibeba hisia za watanzania. Hongera sana baba. Nawashukru sana viongozi wa serikali hasa mheshimiwa Rais na Waziri wake walivyojishusha. Aibu kwao waliokuwa wakishabikia kijinga, wameumbuka. Tusiache kupaza sauti zetu kwa yale tunayoyaona yanafaa lakini yanapotoshwa.
 
Akili ndogo ni akili ndogo eti PHD isiyomsaidia uwazili wewe utaupata? Au baba yako? Au familia yako? Muwe mnatafakari kabla ya kuandika

Uwazili=Uwaziri
Alafu usidhanie kila mtu ni kilaza kama wewe. Sihitaji nikuambie mim ni nani!
 
Back
Top Bottom