Mwakinyo atetea Ubingwa wa WBO Afrika kwa KO, atwaa Milioni 10 za Rais Samia

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,110
2,657
Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kutetea mkanda wake wa WBO Afrika baada ya kushinda kwa KO raundi ya tisa dhidi ya bondia Daniel Latrey kutoka Ghana.

Ushindi huo pia umewezesha kujinyakulia TSh milioni 10 alizoahidiwa na Rais Samia endapo angeshinda pambano hilo kwa knockout kwenye The Night Of Title Defence
 
View attachment 3154072
Samia kahamia na kwenye Ngumi? wakati kuna Wamama wajawazito wabakosa vifaa vya kujifungulia huko mtaani?
 
Wakati Unampa mimba mkeo hukujua kama kujifungua ni gharama,au hujui vifaa vya kujifungulia vinauzwa,acheni kuzaa ovyo na kuitupia lawama serikali kila muda
Kuna yatima wanapewa mimba za kubakwa, vichaa wanabakwa, ombaomba wanabakwa... Unakuta hawana namna ya kujiandaa na gharama
 
Samia kahamia na kwenye Ngumi? wakati kuna Wamama wajawazito wabakosa vifaa vya kujifungulia huko mtaani?
Mtaa upi huo, mbona mama Samia kamwaga vifaa na wodi za kujifungulia kama njugu?

Kondoo wanapenda sana kujifungulia chini ya mibuyu.
 
Back
Top Bottom