Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
1,108
3,137
Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line..

Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza..

Part of Africa is Doing iT 🙃

Tunachelewa sana kuchukua maamuzi katika ulimwengu unaoenda kasi sana. Tunakuja kutahamaki majirani zetu wamekwishatangulia. Baadae tunakuja kuwalipa fedha nyingi sana kama consultants na experts. 🤔
 
Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line..

Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza..

Part of Africa is Doing iT 🙃
View attachment 3127477
Kideri kimeingia Tanzania.
Mamilioni ya Waafrika wanakimbilia Ulaya kama wakimbizi.
Mamilioni ya wanawake wanaenda kufamnywa watumwa wa ngono kwa mashehe wa Saudi arabia na Yemeni.
Wasomali na Waethiopia wanatoroka kwao kupitia Tanganyika kwenda South Afrika kutafuta maisha, wewe unaota eeh, kakojoe ulale.

by 2050 kumbuka akina Sufiani watakuwa na wajukuu, wajukuu wa chawa, hawa machawa mnao waona leo watoto wao watakuwa chawa-pro max lx, wachina watakuwa wanadai karibu nchi zote za afrika na ufisadi utakuwa juu ili kulipa madeni !
 
Siyo kweli huko ni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili msiendelee kuiona elimu yao waliyotuletea haifai chochote kwa miaka ya sasa na siku za usoni.

Kinyume chake ukipaswa kusema bara la Africa kutakua na vijana wengi wa hovyo, waasi na wenye jaziba kali zilizo sababishwa na kupewa elimu isiyo na manufaa yeyote kwao.
 
Some of us tutakuwa wa zee kabisa kama tukiwa hai. Meaning watoto wetu ndio watafanywa watumwa for another time. Muhimu tujenge nchi zetu, hizi mambo za kutegemea ulaya na marekani zitafikia ukomo na sijui tutakuwa ombaomba wa China au wapi.
 
Hospital bora hadi vijijini
Barabara za lami kila mahali
Treni za mwendokasi kila mahali
Demokrasia na utawala wa sheria
Movie theaters
Miji iliyopangwaliwa
Usafi
Fursa za kazi
N.k
Sawasawa mkuu,..hakika ni miundombinu muhimu sana
 
Some of us tutakuwa wa zee kabisa kama tukiwa hai. Meaning watoto wetu ndio watafanywa watumwa for another time. Muhimu tujenge nchi zetu, hizi mambo za kutegemea ulaya na marekani zitafikia ukomo na sijui tutakuwa ombaomba wa China au wapi.
Sahihi
 
Hospital bora hadi vijijini
Barabara za lami kila mahali
Treni za mwendokasi kila mahali
Demokrasia na utawala wa sheria
Movie theaters
Miji iliyopangwaliwa
Usafi
Fursa za kazi
N.k
Viwanda vya kila aina, pamoja na yote uliyotaja, kama hatuna viwanda vya kuzalisha, innovation kwenye teknolojia pia itakuwa muhimu sana. Hakuna taifa linaloendelea kwa sasa bila kuwekeza kwenye teknolojia.
 
Hajasema ulaya itachukuwa watu kutoka africa, amesema itaalika.

Kiujumla nchi nyingi zilizoendelea zinaruhusu uhamiaji lakini zimeanza kuweka vigezo vigumu ili kudhibiti wahamiaji wasiwe wengi.

Kwahiyo kadri miaka inavyozidi kwenda, kuhamia kutazidi kuwa kugumu, nasikia siku hizi ni ngumu kuhamia kama sio skilled(huna degree, huna taaluma) na visa za matajiri kama golden visa zimeanza kubanwa.
 
Point sn
 
Yaani kila cha mtu mweupe labda kwenda kuchambisha wazee , hapo kenya kuna nn cha maana labda kama hujafika ...Kama wabongo tu hizo kazi ulifirikia wakifika ndio wanagundua vitu ...Hao ni cheap labor ila pesa wanayopata wakija kwao ina thamani .

Katika safari ya kwenda kweny anga la juu zaidi uliona mkenya ? Kiufupi wewe hujakaa kenya ni kawaida hawana cha maana ...Slums kibao kazi ukabila tu.
 
Back
Top Bottom