Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 59
Kama nimeelewa unachomaanisha ni kwamba mwanamke wa kiafrika ni upinzani version of masaka.
Haya mwafrika wa kike njoo uplay role yako, apparently wewe ndio unayetegemewa katika issue za kusutana.
Wewe naona bado hujapata enough of me ....... usijikombekombe sana kwangu maana mimi sina urafiki na mafisadi kama wewe.