econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,188
- 29,648
Mwabukusi ana hasira na CHADEMA anatafuta njia ya kukiumiza. Ni Kama akina Nassari, walipopewa ukuu wa Wilaya kazi yao kubwa ilikuwa kushusha bendera za CHADEMA. Mwabukusi alikuwa CHADEMA Baada ya kukosa uongozi akahamia NCCR kwa hasira. Hivyo bado ana kinyongo na CHADEMA. Huyo muda sio mrefu atahamia ccm au ACT ndio rangi yake itajulikana.