Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,984
- 221,537
Mtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo
Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano
Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI hana na wala hajawahi kuwa na rafiki
Hali ilikuwa hivi