chrissleon
Senior Member
- Jul 22, 2015
- 147
- 89
Sio Hasubuhi ni AsubuhiHabari za hasubuhi wakuu! hatimaye Morogoro mjini tuna anza kuona matokeo ya dua na maombi ya viongozi wa dini, mvua imeanza kunyesha kuanzia saa 5:30 mpaka sasa hivi bado inaendelea sijajua ndugu zetu wa Mahenge na sehemu nyingine kama wamebahatika kupata hizi baraka, mda si mrefu Morogoro hatuta kuwa na kelele za njaa.
itafika tu mkuu we anza kuandaa mbegu za kupandaMvua yenyewe ya mafungu...huku Kilakala wala haijanyesha
Mkuu bora sisi huku imenyesha kuna sehemu toka mwaka uanze hawajawahi hata kusikia tone la mvua likidondoka kwenye mabati yao.Sio Hasubuhi ni Asubuhi
Mjin hapa kwenyewe imenyesha kwa mafungu. Itakuwa Mahenge?
Mbegu amekula!itafika tu mkuu we anza kuandaa mbegu za kupanda
Habari za asubuhi wakuu! hatimaye Morogoro mjini tuna anza kuona matokeo ya dua na maombi ya viongozi wa dini, mvua imeanza kunyesha kuanzia saa 5:30 mpaka sasa hivi bado inaendelea sijajua ndugu zetu wa Mahenge na sehemu nyingine kama wamebahatika kupata hizi baraka, mda si mrefu Morogoro hatuta kuwa na kelele za njaa.
Hongereni viongozi wa dini kwa kuombea Taifa.
Haya bwanaVilevile aliyeleta solar eclipse mwaka jana
Unamaanisha nini hapo!?.Mungu you mwema atatuacha tufe njaa