Mvua Kubwa inayonyesha Dar: Makao Makuu ya Club ya Yanga hatarini

Waambie ubishi tu, tatizo yanga hawana mipango ipo ipo tu km
Simba yenye mipango imekosaje kushiriki michuano ya kimataifa kwa miaka mitatu mfululizo??
Simba sio wasindikizaji km yanga, ikishiriki inachachafya kweli kweli.
 
f3697aa37a06cc172a756e5fc7ed900c.jpg
hahahaa jamaa anavua perege muda huuu
Hii ya zamani
 
Yanga hakuna viongozi wote tu ni wababaishaji.pale ukimwita mchina baada ya siku mbili anakuja na ramani unatoka uwanja wa wtu 7000 na kutakuwa hakuna kujaa maji wala tope.
Manji alizidi kuwaharibu akili yanga kwa kuwatisha anawadai B.11,na bila yeye hakuna Yanga
 
Wakuu hii Mvua haijawahi Kunyesha hivi ni Mvua Kubwa sana natazama maji Jangwani Makao Makuu ya Yanga Uwanja ule wa Kaunda Umefurika kama Bwawa la Mtera.
Huku Kimara jua lilikuwa kali mkuu, hatujaiona hiyo mvua. Hope inafuta nyayo za kina Roma
 
Back
Top Bottom