jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,334
Wana bodi, nimepata taarifa ambazo sijaweza kuzithibitisha moja kwa moja kuwa muuza madawa ya kulevya maarufu sana magomeni mapipa ajulikanaye kwa jina la Beka (beka range) ameng'ang'aniwa na polisi nchini Cuba.
Habari zimetua Deluxe bar maeneo maarufu ya Magomeni jana zinasema, Beka safari hii alikuwa amemeza kete kibao yeye mwenyewe hakutaka kumpa "punda" mzigo huo.
Habari hii ikithibitika kuwa kweli itakuwa ni faraja kwa wazazi kwani kuna watoto wanaweza kuliepuka janga la kutumia madawa ya kulevya.
Habari za kuthibitisha ama kukanusha zinakaribishwa zikiwa na maelezo ya kina kidogo.
Naomba kuwasilisha.
===============UPDATE===============
IMETHIBITISHWA
Cc. Mzee Mwanakijiji

mkuu Ranger amekamatwa kweli na amekamatiwa Maleysia ila kasafirishwa kwenda Cuba serikali ya Marekani ilikuwa inamtafuta kimyakimya ni mdogo wake kiongozi wa zamani wa Yanga Iman Madega
Cc. Mzee Mwanakijiji
Last edited by a moderator: