Muuza madawa maarufu, Halili akamatwa akipokea 'mzigo'

Wapo wengi dodoma na mtandao wao upo airport dodoma na uhindini Wapo ndugu wawili Musa na Hamza ati Hamza anauza viungo vya pilau ananyumba karibu 10 dodoma kazi wanayo mwaka huu hawa wanauhusiano WA karibu na kina hariri
 
Kaka yao mkubwa anaitwa hadari yupo dodoma pale airport karibu na msikiti WA Gaddafi yeye ndio supplier mkubwa pia Gari za nyingi za wizi zipo dodoma eneo LA Ilazo kwenye nyumba yao ukifika Utajua ni nyumba ya watu WA ngada mageti mawilimawili
 
Now unanileta kwenye hoja,huyo mwizi wa magar namjua alikua akiiba magar anakuja kutanulia Dodoma miaka hiyooo,huyu jamaa ndugu zake wapo Dodoma na kuna jamaa yao pale airport Dodoma anauza ngada anaitwa Sele Mbaruku yupo Mtaa wa Kinyali,ashakamatwakamatwa sana ila POLISI kawashika.
Huyu Halili kama anaendelea na wizi wa magari baso bwege maana ameanza muda sama.
Moja ya ndugu zake ni Anuar (amefariki kwa ajali ya swimming poole).
HAIDAR- Huyu yupo Dodoma ni Kaka yao anauza Ice cream maeneo ya airport msikiti wa Gadafi.
Asee hayo majitu uliyoyataja mabwege sana kuna miaka flani nyuma kdg kabla ya kuja UDOM yakikua yakizani kila mwanamke dom wa kwao basi wakikukuta NK na demu watataka wakufanyie fujo tu, na wenzao wanakaa uhindini hapo
 
Wapo wengi dodoma na mtandao wao upo airport dodoma na uhindini Wapo ndugu wawili Musa na Hamza ati Hamza anauza viungo vya pilau ananyumba karibu 10 dodoma kazi wanayo mwaka huu hawa wanauhusiano WA karibu na kina hariri

Humo kwenye pakit za viungo vya pilau unapata na kete za unga mulemule, ni wajanja sana
 
Back
Top Bottom