Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,094
Sasa kama tunaishi kwa kuwabeba wazenj kiasi hiki kwa nini mzigo waote huu,si tuwaache waendelee na yaoKarafuu inalimwa Mkoa wa Tanga nafikiri Wilayani Mkinga au Handeni.
Zanzibar tunalima sana Miwa.Lakini kuna mtu anaweza kuniambia wapi Zanzibar wanalima miwa? Hii sukari sio ya kutoka Pakistani au China?
Kama kinazalisha lakini Zenji tu haitoshi sasa unaanzaje kuwalisha majirani wakati watoto ndani bado wananjaa na mkome kufunga wazee na kushangalia ni utovu wa nidhamuNi upuuzi kuamini kile unachokisema wewe tu ndio sahihi maana unang'ang'ania kwamba hiyo sukari wanayotaka kuja kuuza bara inaagizwa kutoka nje wakati imeelezwa hapo kwamba kiwanda kipo na hata kuna viongozi wa serikali ya muungano wamewahi kukitembelea hicho kiwanda na kama unafikiria hivyo ndio unataka tuamini hizo bidhaa zinazopelekwa kuuzwa Znz zikitokea huku bara nazo zote zinaagizwa kutoka nje huku wakidai zinatengenezwa hapa sio!
Uwe unasoma mada na kuelewa vyema badala ya kurukia hoja.Sukari yenyewe tank 8000, matumizi yao tani 17000, sasa wanataka Ku export kwa nini. Biashara ni ushindani, hao wahindi wajitahidi kuzalisha kwa bei nafuu ili waweza kuliahikilia soko la Zanzibar, NA serekali ipige marufuku uingizaji wa sukari.
Kwani unamjua meneja wa kiwanda cha Mtibwa Sugar, Kilombero au Mtibws Sugar anaitwa nani?Meneja mwenyewe wa kiwanda anaitwa Rajesh Kumar unategemea nini Mkuu? Hiyo ya Lahore tu hapo wanapack kwa mifuko!!
Amekaa zaidi Marekani na Ulaya.Huyo waziri mbona anachanganya lugha wakati anaongea?
Wabunge wa ccm kutoka zrnji ni vibuyu kabisa, wana maneno ya shombo sana wakati wanajua fika wanawakandamiza wazenji wenzao.Nimekuelewa Isaa. Lakini ninyi wa Wazenj mlipata fursa nzuri sana ya kuukataa huu Muungano feki ktk Rasimu ya Katiba. Pale Bungeni kura zenu za kuukataa Muungano huenda mngepata Uhuru wenu. Sasa ninyi mnaumia na sisi tunaumia. Poleni sana
Hata hivyo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage alipoulizwa kuhusu malalamiko hayo alisema hana taarifa hadi awaulize wasaidizi wake.
“Mimi ni waziri wa Viwanda na Biashara, nina manaibu waziri wawili, makatibu wakuu, manaibu katibu na nina wakurugenzi na mashirika 19 chini yangu. Ninasikia mambo mengi, nikikwambia nina majibu vidoleni nitakudanganya, hadi niwasikilize wasaidizi wangu,” alisema Mwijage kwa njia ya simu.
Lakini kuna mtu anaweza kuniambia wapi Zanzibar wanalima miwa? Hii sukari sio ya kutoka Pakistani au China?
We we Zanzibar yote unaijua? Miwa inalimwa mahonda kuna eneo kubwa tu.Naomba kujua miwa inalimwa wapi Zanzibar.!
Huyo waziri mbona anachanganya lugha wakati anaongea?
Wabunge wa ccm kutoka zrnji ni vibuyu kabisa, wana maneno ya shombo sana wakati wanajua fika wanawakandamiza wazenji wenzao.
Si mnawatukana ati wa bara machogoMiwa inalimwa Sana Zanzibar na kiwanda kiko mahonda lakini serikali ya bara ni kawaida yao kutuwekea vikwazo bara hawanahaja na cc wao wanaangalia maslahi yao tu si jengine lakini cc wazenj hasa viongozi wetu ndio wasiojitambu au llabda ni kulinda maslahi yao tu.
Kwani Tanganyika wamezuiwa na nani kuagiza kutoka nje na kuuza bei rahisi kama si roho mbaya zenu tu!Kwa hiyo mnataka sukari inayozalishwa Zanzibar tuuziwe Bara kwa bei kubwa halafu nyie muwe mnatumia ya nje kwa bei ndogo.
Huu ni ufisadi wa waziwazi kwa kuwabeba wafanyabishara wa Zanzibar na mzigo kuwatwisha Wabara...
Hata ardhi Zanzibar haiwatoshi lakini munalazimisha kupeleka wapiga kura hewa!Sukari haiwatoshi lakini wanalazimisha wauze Bara ili faida itumike kuagiza sukari nyingine nje ya nchi. Wazanzibar wana akili sana.
Zanzibar Mfuko wa 50 Kg ni 60,000. Bara ni 90,000 Elfu 30,000 waitumie kuagiza ya ziada kwa kuwa Bara ni mazoba?
Hii sheria ya kipuuzi ya sukari ndio inasababisha tunanunua sukari kwa bei ya juu,, mbona hawatungi sheria ya chumvi na Sembe,,Naomba kueleweshwa Kuna haja gani ya kuweka sheria au taratibu za sukari? Kwani ina tofauti gani na chumvi after all watumiaji was chumvi ni wengi zaidi kuliko was sukari
Sasa wakiukataa hio sukar watauza wapi?Nimekuelewa Isaa. Lakini ninyi wa Wazenj mlipata fursa nzuri sana ya kuukataa huu Muungano feki ktk Rasimu ya Katiba. Pale Bungeni kura zenu za kuukataa Muungano huenda mngepata Uhuru wenu. Sasa ninyi mnaumia na sisi tunaumia. Poleni sana