Muuguzi ahukumiwa kwenda Jela Miaka Mitatu kwa kufoji cheti cha Sekondari

Mtasema sana mtaandika sana huyo ndiyo Paul Makonda mtamuita majina yote wala hayasaidii kabisa.bado anapiga kazi kama RC.
 
Takukuru chunguzeni vyeti vya Daud Albert Bashite wa Kolomije kama ni forgery ashitakiwe!!
Msivunje katiba kuonea wanyonge!!
Kamata Bashite!!
 
Mtasema sana mtaandika sana huyo ndiyo Paul Makonda mtamuita majina yote wala hayasaidii kabisa.bado anapiga kazi kama RC.
Tangu lini pombe ikaleta maendeleo?
Tangu lini chama cha majambazi ikamhukumu jambazi mwenzao?
''hakuna serikali yyte dunia iliyoishinda nguvu au sauti za wananchi'' km ipo niambie
Muda wa hii serikali dhalimu ya chama cha majambazi utafika mwisho. Tunaongea haki siku zote hutawala daima
 
Tatizo wewe unaangalia chama lakini Serikali yetu si chama Bali ni watu kama ulikuwa hujui sasa elewa na kama unaweza kuwatoa watu hebu Karibu kuwatoa kama utaweza.

Ikulu kama Serikali itaendelea kutawaliwa na watu na si chama ktk nchi hii miaka yote.

Hilo ni Fumbo la Imani
 
Mkuu siku zote pombe haiwez ikaleta maendeleo ndiyo maana sasa hiv viongoz wetu wamelewa na pombe mpaka wanatoa maamuz ya kitoto. Hiv mkuu wa mkoa anauwezo gan wa kumuamlisha mwalimu apige deki? Uongoz kweny ngaz km hiyo lazm uwe mwanacha wa chama fulani. Unaweza kuwa raisi bila kupitia chama?
Bila ya pombe leo vijana wangekuwa makazini, increment ingetolewa km kawaida, helsb 8% ile ile, uchumi ungekuwa stable as usual.
POMBE NI MBAYA SANA, WATU WAMEHARIBIKIWA KWA SBB YA POMBE.
NDIYO MAANA NIKAULIZA TANGU LINI POMBE IKALETA MAENDELEO?
 
Pombe haileti Maendeleo ni kweli nakuelewa.Na ktk utumishi umma haturuhusu issue ya boss kupiga mwingine.

Najua hiyo IPO ktk mafunzo ya majeshi ktk mambo ya adhabu unaweza kupata kibao cha kufanya MTU mpaka ukajuta kuzaliwa.

Viongozi wengi wa sasa wamezidisha ile nguvu ya madaraka kiasi cha kuwaondoa watumishi ktk ile mood ya kufanya kazi kwa moyo Ilo nalijua kabisa.

Kwa sasa kiukweli hatuna cha kufanya zaidi ya kusubiri tu awamu zimalize muda wake ziondoke

Huna cha kufanya utapiga kelele sana lakini zitaishia kuzisikiliza mwenyewe
 
Kweli ww unafikiri kwa kutumia makalio. Hiv km napiga kelele kwann umeniquote? Acha uji,......,nga ww.
Kila kitu kinafanyika kwa kutumia lugha inaweza kuwa ya maandishi au mazungumzo. Maneno yanachoma ndiyo maana sasa hiv hakuna uhuru wa kujieleza Tanzania unafikiri ni kwann? Ingekuwa ni kupiga kelele bas watu wasingekamatwa wangeachia huru.
Unashinda mtandao kwa pesa za pole pole kwa kuipigia ccm? Unakichaa ww. Chukua buku 7 zako ukalale. Ukweli utazungumzwa daima siyo ogopi hao polisccm wako. Hii nchi ishakuwa na viongoz wa kijinga sana. Mnafurahi sana mabaya mnayofanya?
Tangu lini pombe ikaleta maendeleo? Kuna wakati watu wanapigana juu ya viongoz dhalimu na madikiteta ndiyo maana Snoop Dog anabifu na Trump
Usiwe muoga, nyie aandae magareza meng sana.
 
Kwanin wanamuhukumu? Walitakiwa waangalie utendaji wake kama hauna shaka wangepaswa kumpandisha na cheo kabisa.

Hukumu ni kwa mujibu wa sheria iliyopo. Kwa maoni yako inabidi iwepo sheria yenye kipengele unachopendekeza. Ila lazima tuelewe maana na umuhimu wa kuwepo mitihani.
 
Back
Top Bottom