mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,083
- 8,946
kama wafuga majini ni shida,vipi kuhusu makanisa yanayoruhusu ushoga??je nayo ni shida?? angalia na upande wako kabla ya kusema kwa wengine
Imani ni kuyaishi kivitendo mafundisho ya imani husika! Yesu kafundisha wapi ushoga? Muhammad kafundisha > kasome suratul nisaa 14, 15 16 halafu kasome tafsir babu maa ja-a UK 13,14 sababu za kuoga, mojawapo kama umemuingilia au kuingiliwa 0713; umemuingilia maiti, mnyama, kuntha, mtoto..nitakuwa nimekosea nikisema wafanyao hayo haijalishi watajiitaje ni wafuasi wa muhammad na si wafuasi wa Yesu!?