Museveni: No country is more democratic than Uganda!

Hata kama aliipenda sana Libya bado alikuwa na mapungufu yake. Haiwezekani mtu mmoja ajimilikishe nchi yeye na familia yake.

Sawa, sasa saa ivi wanapoitawala walibya wote ndiyo unaona matokeo yake shida hapa tuelewane kuwa hakuna malaika [Misemo ya Nyerere na baadaye Mandela], e.g Mandela visited Libya and Gaddafi because, of the support that Libya provided to S/Africa to end apertheid regime when he was released from jail [Mandela, visited Libya in 1997, not only that also, Mandela's grandson is Named GADDAFI TO HONOR HIM/GADDAFI.

Ila kama hujasoma vizuri kuhusu Gaddafi's Pojects in Libya huwezi kujua alivyokuwa a Great Think Thank for Libya even for our Continent/AFRICA, sema tatizo WESTERN LEADERS WITH THEIR MEDIA HAVE FED MOST OF AFRICANS AND THE WORLD AT LARGE THAT GADDAFI was a dictator , a Mafia and with all evil names / bad image , kumbuka tu kuwa hakauna msafi ktk serikali za ulaya na U.S.A, Also, it seems that you are just forgetting that Europe and U.S.A they are Spin Doctors in propagandists.
Hebu soma Malikia Elizabeth na Waziri Wakuu wake [U.K] utaona kama huyo malikia hajajimilikisha nchi , na nikutahadhalishe: ''malikia ana nguvu sana kuliko unavyoweza kusoma ktk vitabu na vyombo vya habari vya magharibi:
Ndiyo maana basi Mugabe alisema kama mtu anasema yeye amekaa madarakani' wakamuulize ,Malikia kakaa muda gani BBC TV Interview with Mugabe..
Pia ujue Mugabe amefanya mazungumzo huko kote kuhusu uhuru wa Zimbabwe na issue za ardhi anawajua na anajua nguvu/nafasi ya malikia na kukaa kwake madalakani na jinsi anavyoteua watu wakubwa wa serikali ya U.K. mf. mabalozi, vyeo vya jeshi, kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya , kupitisha sheria/kutia sahihi , anatoa msamaha kwa mtu yeyote yule mf. aliyemharifu / aliyehukumiwa kwa kesi, na hata kupendekeza Prime Minister na all Ministers as well as To appoint people in the house of Lords [hii house ndiyo final say kwa issues zote ambazo ni sensitive in U.K's life e.g sheria zote na utendaji wa serikali mf. security, economic, foreign policy].

Ila ukiangalia tu kwa juujuu utaona kuwa Gaddafi alimiliki nchi ila hata hao wazungu ni uselaji mkubwa sana [ invisible hand/s and more issues behind the scene]

Anyway nisiandike mengi sana ila elewa tu wazungu kuna issue nyingi sana ambazo ziko ktk uficho mkubwa/giza nene kwetu waafrika hasa kwa vile tunaangalia vitu kama vilivyo: Mkufunzi mmoja wa CIA , akasema ktk darasa lake : "WHAT YOU SEE' WHAT YOU HEAR NOTHING WHAT IT SEEMS!!

Think well about the future of Africa and don't conclude issues on one event!
 
RIP gadafi lkn sielewi kwanini alitaka kufanya nchi za ki Africa ziabudu Sana u Islam ndo zinufaike Sana na misaada yake


No, si kweli, alikuwa mwislamu alisaidia waislamu wenzake mf. kujenga mahali pa kuabudu[misikiti] sasa hiyo ni shida? Mbona hata Tz au kwingine viongozi wanatoa michango ya kujenga misikiti au makanisa na hapo tuseme kuwa wanafanya nchi iwe ya kanisa au ya kiislamu?
 
Gadaffi alikuwa na plan nzuri ukiongelea kujikwamua kwa bara zima la Africa na waafrica kwa ujumla, ila shida kubwa ya Gadaffi ilikuwa udini uliopitiliza mno kiasi kwamba watu wa dini tofauti na yake aliwaona kama vinyago fulani hivi, yaani kwa ubaguzi wa kidini Gadaffi aliongoza kiasi cha kufikia kuwatukana hadharani watu wa dini nyingine, mfano pale alipotembela Uganda, Gadaffi bila hata ya kuona haya ya uso wala kupepesa macho alitamka waziwazi tena mbele ya vyombo vya habari kuwa Ukristo ni ukosefu wa akili bali uislam na quar an pekee ndiyo usitaarabu watu wote wafuate, fikiria kiongozi mkuu kama huyu anathubutu kutoa matamshi kama hayo!!

Alijibiwa na Muinjili mmoja kwamba Gadaffi hana akili na ni mtu aliyechanganyikiwa kwahiyo hawezi kuifaa jamii ya leo.
 



ha ha ha what a joke..... i think most of the african leaders when getting old they become good comedians
 
Kiingerza kimenipiga chenga ila huyo bodyguard duuh utazania hana democracy yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…