Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,907
Hata kama aliipenda sana Libya bado alikuwa na mapungufu yake. Haiwezekani mtu mmoja ajimilikishe nchi yeye na familia yake.
Sawa, sasa saa ivi wanapoitawala walibya wote ndiyo unaona matokeo yake shida hapa tuelewane kuwa hakuna malaika [Misemo ya Nyerere na baadaye Mandela], e.g Mandela visited Libya and Gaddafi because, of the support that Libya provided to S/Africa to end apertheid regime when he was released from jail [Mandela, visited Libya in 1997, not only that also, Mandela's grandson is Named GADDAFI TO HONOR HIM/GADDAFI.
Ila kama hujasoma vizuri kuhusu Gaddafi's Pojects in Libya huwezi kujua alivyokuwa a Great Think Thank for Libya even for our Continent/AFRICA, sema tatizo WESTERN LEADERS WITH THEIR MEDIA HAVE FED MOST OF AFRICANS AND THE WORLD AT LARGE THAT GADDAFI was a dictator , a Mafia and with all evil names / bad image , kumbuka tu kuwa hakauna msafi ktk serikali za ulaya na U.S.A, Also, it seems that you are just forgetting that Europe and U.S.A they are Spin Doctors in propagandists.
Hebu soma Malikia Elizabeth na Waziri Wakuu wake [U.K] utaona kama huyo malikia hajajimilikisha nchi , na nikutahadhalishe: ''malikia ana nguvu sana kuliko unavyoweza kusoma ktk vitabu na vyombo vya habari vya magharibi:
Ndiyo maana basi Mugabe alisema kama mtu anasema yeye amekaa madarakani' wakamuulize ,Malikia kakaa muda gani BBC TV Interview with Mugabe..
Pia ujue Mugabe amefanya mazungumzo huko kote kuhusu uhuru wa Zimbabwe na issue za ardhi anawajua na anajua nguvu/nafasi ya malikia na kukaa kwake madalakani na jinsi anavyoteua watu wakubwa wa serikali ya U.K. mf. mabalozi, vyeo vya jeshi, kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya , kupitisha sheria/kutia sahihi , anatoa msamaha kwa mtu yeyote yule mf. aliyemharifu / aliyehukumiwa kwa kesi, na hata kupendekeza Prime Minister na all Ministers as well as To appoint people in the house of Lords [hii house ndiyo final say kwa issues zote ambazo ni sensitive in U.K's life e.g sheria zote na utendaji wa serikali mf. security, economic, foreign policy].
Ila ukiangalia tu kwa juujuu utaona kuwa Gaddafi alimiliki nchi ila hata hao wazungu ni uselaji mkubwa sana [ invisible hand/s and more issues behind the scene]
Anyway nisiandike mengi sana ila elewa tu wazungu kuna issue nyingi sana ambazo ziko ktk uficho mkubwa/giza nene kwetu waafrika hasa kwa vile tunaangalia vitu kama vilivyo: Mkufunzi mmoja wa CIA , akasema ktk darasa lake : "WHAT YOU SEE' WHAT YOU HEAR NOTHING WHAT IT SEEMS!!
Think well about the future of Africa and don't conclude issues on one event!