G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,624
- 8,651
Hv nyie Covid mliiona wapi?hamuoni kama kuna watu na njama zao za kuondoa wengine ili nao wale?Covid iache watu uswahilini ikaue Rais?TTUENDELEE KUJILINDA NA KUTUBU KWA AJILI YA NCHI YETU FAMILIA YETU VIONGOZI WETU NA WOTE
USIACHEKULALA BILA.KUIOMBEA TANZANIA MPENDWA
MAUMIVU YA COVID MI MAZITO NA MAGUMU KINACHOFWATA A MUNGU ATUREHEMU ATUSAMEHE AFRICA OMBEA BARA LEOTU LA AFRICA
Tubuu kwa ajilii ya Bara zima la Africa
MUNGU asamehe dhambi zettu ATUREHEMU tulipomwacha
TAARIFA NILIOSIKIA JIRANI HUKO HALI SI NZURI SANA LEO KUNA MAUMIVI YAMEWAANGUKIA TUSUBIRI WASEMAJI HUSIKA
MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU WOTE