Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
Una ukweli gani kwanza hii uliyotuandikia. Isijekuwa unataka watu tutoke mapovu humu kumbe issue ya kupika. Maoni yangu namtakia kazi njema
 
Hahaha vichekesho vingine bana

Ina maana wao Sweden hawajiamini mpaka wahitaji mtu wa tatu kukagua mahesabu yao? Au wanafikiri kwa kufanya hivyo ni kumuumiza Magu? Hahaha wajinga kweli
Mjinga wewe unayeomba hizopesa kwao
 
Una ukweli gani kwanza hii uliyotuandikia. Isijekuwa unataka watu tutoke mapovu humu kumbe issue ya kupika. Maoni yangu namtakia kazi njema
24 MAY 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Successful visit to Tanzania 19-21 May 2019 by Swedish Minister for International Development Cooperation H.E. Peter Eriksson......

The long standing Swedish partner the Controller and Auditor General Prof. Mussa Assad, the Minister witnessed a signing of an agreement with the National Audit Office of Tanzania to conduct performance audits on Swedish development programs implemented by the Tanzanian Government. After the meeting, he concluded: “Independent institutions that balance power in a country are very important to fight corruption, and for society in general”.
Source: Successful visit to Tanzania by Minister Peter Eriksson
 
Kazi ya kukagua serikari kuu sio ndogo R.I.P ‘Leopard Lwajabe’ ni miezi michache tu imepita toka isemekane alijinyonga, na watanzania washamsahau marehemu.

Ikumbukwe kwamba kabla ya hatma yake bwana Lwajabe alianza kuuliza matumizi ya hela za European Union zimeenda wapi jukumu alilopewa kusimamia.

Kazi zingine sema nei wacha tu wafanye wengine especially baada ya mziki aliotoka kuucheza CAG kisa report yake.
 
Mwambie dada yako apunguze kuwa gogo hela za daladala zitakuwa nyingi usihofu. Kama akizidiwa take over majukumu ya dada chumbani shemeji atakupandisha cheo
Duuh ahsante kwa ushauri wako ila kama wewe umezoea ku-take over majukumu ya dada yako chumbani na ukapandishwa cheo naomba nikupongeze maana wewe ni wakipekee, mimi sitaweza.
 
Back
Top Bottom