Mm siangalii yeye anafanya nn mm nafanya hivyo for my own gud
Akiliwa na ww si unatafuta X wako unafidia
Hakuna iyo kitu broo,labda mtu wako ana matatzo yake,lakn pia usipende Ku generalize mambo,kuna madu wanamisimamo na itikadi Kali,hata kwa mtutu nyuchi hupewi broo!!Hii ni kweli aisee, sana sana kama waliachana in good terms
Halafu sijui kwa nini.. yaani nilipomaliza tu kuusoma uzi, nikakukumbuka... halafu nikawaza sanaAcha ku cremisha mambo,
Kama we ulimla Xwako au mpenzi wako aliliwa na X wake usidhani everyone will do the same
Ukweli unauma eeehAcha ku cremisha mambo,
Kama we ulimla Xwako au mpenzi wako aliliwa na X wake usidhani everyone will do the same
Si unamwacha tuSafi sana leo nimejifunza kitu! Je ikitokea umejua kwa bahati mbaya bila ya kukusudia kwamba alikutana na x wake mara nyingi tu na wakakumbushiana?
Hongera lakini jiangalie Mke Wa MTU usije ukadokolewa 0657Mm mpaka sasa ...nina X 67 kati ya hao 14 wameolewa...lakin nikitaka yyte yule napiga simu siku mbil tatu na napasha kama kawa.....mfano week iliyopita nilikuwa mishi kikaz nikampigua simu ex wang no 5...mumewe nikatambulishwa ndugu yake....after kesho yake demu kaja hotel nikapasha na nimerud mwepesi...na mmewe kanitumia nauli
Mwe mleta uzi hv una maana gani kwanza ?
~umetuchukulia kam kuku tetea na jogoo?kuwa wakat wowote na popote?
~sieni enyi watu wa jf km mnao kutana nao wanawapaga sio wote.msizungumzie kwa
mjumuisho
~kwa wanao jielewa hata kama hana boyfriend kwa wakat huo hawez kufanya upuuzi huo hata kidogo.
~achen kutu dhalilisha km halmashaur zetu za vichwa hazifanyi kaz
Hakuna iyo kitu broo,labda mtu wako ana matatzo yake,lakn pia usipende Ku generalize mambo,kuna madu wanamisimamo na itikadi Kali,hata kwa mtutu nyuchi hupewi broo!!
Kama yule demu wako wa chuo mlio chafua mashuka ya lodged, hivi mnawasiliana tena?Ex anaeza kupasha kiporo muda wowote na mpnz wako
Ata kama waliachana kwa ugomvi lakn they had good moments pia, so wakimiss watakumbushia tu
Wabongo wanawaza ngono tuu, hii jukwaa lenye wachangiaji wengi kuliko majukwaa mengi...Trumph akiwarushia madongo mwachukiaEx anaeza kupasha kiporo muda wowote na mpnz wako
Ata kama waliachana kwa ugomvi lakn they had good moments pia, so wakimiss watakumbushia tu
Sio dada zetu hata kaka kama wew naye ni jipu tu, kwanini ule matapishi yakoNi kweli kabisa mkuu,,mm huwa nikizidiwa alafu cna chombo kipya huwa navuta waya kwa ma ex wangu nawaimbisha then najilia mzgo kiulaini bila hata waswasi na wengine walishaolewaga ila nikitupia ndoano any time nanyakua mzgo...ila ndo ivyo akili za dada zetu wanazjua wenyewe.
Hujuagi kuwa mkojo unaweza ukawa kama maji au juice jangwani pale ambapo kiu imekukamata na hakuna chanzo chochote cha maji,,co mbaya mkikumbushiaSio dada zetu hata kaka kama wew naye ni jipu tu, kwanini ule matapishi yako