Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,166
- 3,076
Hapo chanzo ni utawala, utawala ungekua mzuri hata angepost Mara 20000 yasingetokea yaliyotokea.Sijui kama unajua kilichotokea tahrir square kilianzishwa na fb, jamaa mmoja alikuwa anauza duka la madawa akaanxa kupost kwamba haridhiki na utawala
Aman inaharibiwa na wakubwa, huku mitandaoni ni sehem pekee kwa wananchi wanyonge wasio na pakusemea ndipo wanaposemea
Kama walau mambo yapo vizur mtu huwezi pata sapport