Mungu mkubwa, leo nasafiri na wanamapinduzi

Watu wengi tuna hamu kubwa sana ya kuwa karibu na wanamapinduzi. Nani asiyetamani kushikana japo mkono na watu kama Fidel Castro? au mtu kama Martin Luther au hapa kwetu mtu kama Nyerere au Sokoine? Kiukweli mimi ni mmoja kati ya watu wanaopenda kuwa karibu na wanamapinduzi wanaopambana na dhuruma hasa kwa wanyonge. Huwezi amini leo nitapata fursa ya kusafiri na Prof Baregu, Kabudi na Polepole, japo nimewasalimia kwa uoga sana. Wanaelekea mwanza na fastjet ya saa 9 kasoro. Nipongezeni wandugu.

Hongera sana. Hopefully kuna kitu utajifunza kutoka kwao.
 
Wachumia tumbo tu haohawana lolota njaa inawasumbua

wachumia tumbo ni wale wanaojipendekeza kwa watawala hadi kuamua kusaliti fani zao, mfano yule mzee aliyeandika vitabu vingi kuupinga muungano wa sasa ila leo kavigeuka. Sasa hawa watachuma nini kwa wanyonge?
 
Watu wengi tuna hamu kubwa sana ya kuwa karibu na wanamapinduzi. Nani asiyetamani kushikana japo mkono na watu kama Fidel Castro? au mtu kama Martin Luther au hapa kwetu mtu kama Nyerere au Sokoine? Kiukweli mimi ni mmoja kati ya watu wanaopenda kuwa karibu na wanamapinduzi wanaopambana na dhuruma hasa kwa wanyonge. Huwezi amini leo nitapata fursa ya kusafiri na Prof Baregu, Kabudi na Polepole, japo nimewasalimia kwa uoga sana. Wanaelekea mwanza na fastjet ya saa 9 kasoro. Nipongezeni wandugu.

Ukapimwe akili wewe.. uchizi unaanza hivyo.
 
Back
Top Bottom