Mungu hawape rehema hawa wazee wetu waliotangulia mbele ya haki tuseme amiin

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
50,334
39,685
Wanaukumbi.

WAZEE+WA+TANU.jpg

SHEIKH+SULEIMAN+TAKADIR%252C+JOHN+RUPIA+AND+NYERERE+1955.jpg

nyerere_departing_for_UNO.jpg

side.jpg

nyerere_karume_and_moyo.jpg

DSC03585.JPG
Kushoto Kwenda Kulia: Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona
Ukumbi wa Arnautoglo Kwenye dhifa ya Kumuaga Nyerere Kwenda UNO safari ya pili 1957

<tbody>
</tbody>

ALLY+SYKES+AND+JULIUS+NYERERE.JPG

20140430_150609.jpg

20140430_151443.jpg

Hii Picha Ilipigwa Siku ya Nyerere Alipoweka Jiwe la Msingi
Chuo Kikuu Cha Waislam, Chang'mbe 1968 Nyerere
Anapeana Mkono na Mufti Sheikh Hassan bin Amir Katikati yao
ni Tewa Said Tewa Rais wa EAMWS Tawi la Tanganyika
scan0029.jpg
Katika wajumbe Waliohudhuria Mkutano Huu wa Kwanza wa TANU mwaka 1955 Ukumbi wa Hindu Mandal

<tbody>
</tbody>
 
Nyerere alikuwa mtu mzuri kwa watu wote, makabila yote na DINI zote
 
Nyerere ni mfano wa kuigwa...Alikuwa anachangamana na kila mtu....

Huyu ndiye Baba yetu wa Taifa..
 
Hao wazee wengine hasa wenye bargashia inaonekana walikuwa si wasomi...Ila msomi Nyerere alichangamana nao bila kuwabagua....

Ni kiongozi wa kuigwa mfano..
 
Kweli tuwakumbuke na tuombee kama ingekuwa inawezekana muzimu wake uwakute watawala wote mafisadi wa Cahama tawala CCM, majangili wa mali asili kama ndovu akina Kinana, uwakute wauza madawa ya kulewa wanaobarikiwa na viongozi wetu akiwemo mkuu wa kaya ambaye alisema anajua majina yao na anayo, wakute wezi pesa za umma kama EPA, mzimu uwakute viongozi wanaotaka serikali mbili ili kulinda masilai yao ya kukaa kwenye uongozi ili watuibie na kula mali za wananchi
 
chakujiuliza wazee wote hawa Hakuna unaposikia wakitajwa kwenye vitabu vya historia ya nchi hii.

je hawakuwa na mchango wowote?
hapo Ndio unafik na ufedhuli wa nyerere unapodhihiri.

MwenyeziMungu amlaani na amuadhibu huko aliko.
 
kutajwa kwenye vitabu si sababu....Nyerere aliwawakilisha wote...
 
Wanaukumbi.

WAZEE+WA+TANU.jpg

SHEIKH+SULEIMAN+TAKADIR%252C+JOHN+RUPIA+AND+NYERERE+1955.jpg

nyerere_departing_for_UNO.jpg

side.jpg

nyerere_karume_and_moyo.jpg

DSC03585.JPG
Kushoto Kwenda Kulia: Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona
Ukumbi wa Arnautoglo Kwenye dhifa ya Kumuaga Nyerere Kwenda UNO safari ya pili 1957

<tbody>
</tbody>

ALLY+SYKES+AND+JULIUS+NYERERE.JPG

20140430_150609.jpg

20140430_151443.jpg

Hii Picha Ilipigwa Siku ya Nyerere Alipoweka Jiwe la Msingi
Chuo Kikuu Cha Waislam, Chang'mbe 1968 Nyerere
Anapeana Mkono na Mufti Sheikh Hassan bin Amir Katikati yao
ni Tewa Said Tewa Rais wa EAMWS Tawi la Tanganyika
scan0029.jpg
Katika wajumbe Waliohudhuria Mkutano Huu wa Kwanza wa TANU mwaka 1955 Ukumbi wa Hindu Mandal

<tbody>
</tbody>

hakika tumepoteza wazalendo.
 
Back
Top Bottom