Mungu ambariki Sana Mbowe. Kuanzia Leo utaitwa Master Mbowe

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
28,161
67,710
Imekuwa!

Kunapokuwa na mambo ya uchaguzi, mapambano ya kuwania nafasi au cheo na katika mpambano huo ukahusisha Mkubwa au Legend au mtu anayetetea Kitu alichokikalia kwa Miaka mingi kama Miaka ishirini kuendelea.

Legend huyo akapambanishwa na mdogo wake au mtu wa cheo cha chini au ambaye hajawahi kukalia kiti

Ikatokea matokeo yakaonyesha Mkubwa kashindwa na akakubali Kushindwa. Kwa Sisi Watibeli tunampa Ushindi Mkubwa.

Ingawaje Mkubwa ameshindwa kwenye uchaguzi lakini kitendo cha kukubali ameshindwa ni heshima kubwa.

Mbowe Umeweka Historia kwenye Nchi yetu.

Mbowe ndiye atakuwa Mtanzania wa Kwanza kufanya tukio kubwa kama hili.
Historia imeandikwa.

Sisi Watibeli tunaangalia ukweli wa mambo. Bila kujali ukubwa wetu, sifa zetu, nguvu zetu

Tukio hili aliwahi kulifanya Jehovah's Mungu wa wayahudi Miaka zaidi ya elfu nne iliyopita.

Mungu anaitisha Uchaguzi,
Kisha muendesha uchaguzi alikuwa ni Nabii Yoshua.

Mungu anamwambia Yoshua aitishe uchaguzi. Awaambie Waisrael wao wanataka Waongozwe na Nani, je waongozwe na Mungu au miungu?
Muendesha uchaguzi ambaye ni Joshua anatangaza uchaguzi lakini Joshua anatangaza yeye na nyumba yake watamchagua Mungu.
Huu uchaguzi Mungu akashinda.

Lakini baadaye kidogo Miaka kadhaa ilipopita Joshua amekufa na hakuna Nabii Wala Nani. Nchi inaongozwa na WAAMUZI.

MUNGU Anaitisha Uchaguzi tena. Huo ni uchaguzi wa pili kwa Waisrael Kumchagua kiongozi wao.
Uchaguzi huo uliitishwa baada ya Wana wa Israel kuanzisha mgomo wa kutaka kuwa na Wafalme (viongozi wa kisiasa) kama mataifa mengine duniani. Kumbuka hapo kabla Israel mfalme wake alikuwa ni Mungu mwenyewe, Yehova.

Hii ni kusema hawataki kuongozwa na Mungu Bali wanataka kuongozwa na wanadamu wenzao ambao ni Wafalme.

Mungu akaona sio Kesi. Ukaitishwa uchaguzi. Yehova akaangukia Pua. Yehova akashindwa kwenye huo uchaguzi.

Licha ya kuwa yeye ni Mungu lakini akakubali matokeo. Mungu wa watibeli ni Mungu wa demokrasia, Mungu wa kukubali Uhuru wa kweli.
Ndipo waisrael wakaongozwa na Mfalme Sauli.

Mbowe kafanya Jambo kubwa.
Ingawaje tulikuwa tunampelekea Moto na kumkatisha tamaa, kuimiza Timu yake isifikrii sawasawa nini cha kufanya.

Kuhamasisha na kushawishi wajumbe kuwa Lisu anakubalika. Lakini haimaanishi hatukujua mchango wa MBOWE.

Mbowe pumzika sasa.
Toa msaada unaohitajika.
Sisi wote ni Watanzania. Tunahitaji taifa Bora, lenye HAKI, KWELI, UPENDO NA AKILI.

AHSANTE SANA WAJUMBE
 
Sio Masta bana, ni Jenerali :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
 
Master gani aliyepokea ela za mama abdul ili aharibu chama? Ni mpuuzi tu huyo.
 
1000341266.jpg
 
Kashindwa kwa kura ngapi?
 
Back
Top Bottom