Kuna kipindi kinafika mtu unaamua kuhamia dini nyingine hasa kwa sababu dini uliyonayo ulichaguliwa na wazazi / walezi / mazingira tangu ukiwa mtoto usiejitambua wala kupevuka kiakili.
Kwa wakristo wala hakuna taabu, utahamia dhehebu lengine la kikristo ama uislam, wala hakuna adhabu yoyote na unaweza kurudi bila maswali.
Lakini sasa shida inakuja katika imani ya kiislam, Ukitaka kuihama ni taabu sana
1. Nchi nyingi za kiislam ikiwemo Nigeria wanaohama dini wanauliwa
2. Nchi nyingi za kiislam kama Malaysia ukitaka uhame dini inabidi uandike barua kwa mahakama ya kiislam, usubirie tamko lao wakuamulie wao kadri watavyoona yafaa
3. katika nchi ambazo hazina waislam wengi walau kuna uhuru wa kuhama dini sababu serikali inafata zaidi sheria za nchi sio za kiislam lakini bado shida ipo, ukiamia dini nyingine utatengwa ama kubaguliwa na waislam
je hii hadithi ndio hupelekea haya ?
YEYOTE ATAEBADILI DINI YAPASWA AULIWE : Al-Bukhaari, 2794