Mume wangu simwelewi, hataki kabisa nishike simu yake

Naombeni ushauri kuhus hii hali mumewangu hataki kabisa ushike simu yake na simu zake zina password na ukimuomba kukutajia anakwambia kabisa hawez maan kwenye simu zake kuna mambo ya ofisi ambayo mm sitakiwi kuyafahamu ila ya kwangu haina password na huwa anaishika kam simuoni anapekua sana tu sasa sijui anachoficha nini

Kweli wewe kichwa tikiti maji, si ameshakwambia kuwa kuna siri za ofisi au unataka akueleze vp? Hujaona wenzio indonesia wamepewa taraka kwa kuangalia simu zawaume zao?
 
Kweli wewe kichwa tikiti maji, si ameshakwambia kuwa kuna siri za ofisi au unataka akueleze vp? Hujaona wenzio indonesia wamepewa taraka kwa kuangalia simu zawaume zao?
Anatafuta nn kwani kwa cm ya mume wake?
 
Simu kanunua yeye bando anaweka yeye wewe unataka umpangie muda wa kukaa na simu yake.............Mwanaume hapangiwi.
 
Kama vitu vingine vya ndani ya nyumba viko sawa nadhani vinatosha. Simu yake achana nayo pia shukuru kaweka password mana vingi utakuwa huvioni hivyo kakupunguzia ugonjwa wa moyo.

Jitahidi kuamini alichokwambia nadhani utaishi kwa amani
 
Jiongeze ki intelligentsia mdada,ni hivi wiki ina siku saba kila siku jaribu kufuatilia Namba ya siri(password)ama patten moja tuu katika simu yake pale anapo jaribu kuingiza password mwishowe utakuwa na Namba za siri za simu zote za huyo umwitae mume wako over....
 
Saa 6 ucku ss hivi umeshika simu unapost jf badala ya kulala umkumbatie mumeo?!..halaf unalalamika humuelewi
Ukute mume hayupo nyumbani mpaka hiyo saa 6. Ukikosa muda wa kukaa na mume/mke wako basi mitandao ndio itakuwa rafiki kwake!
 
Weka password na wewe. Halafu acha kumfatilia. Just ignore him fanya mambo yako (lakini usimkosee heshima)...pendeza,be happy or pretend to be happy. Utaona atakavyo haha!
 
Wanawake mna tabu sana, ukishajua password ikusaidie nini?
Upekuzi sio mzuri, waweza pekua simu ya mumeo na kuona yasiyokuhusu au kukuta amba za wenzio na baadae ukajuta.
Angalizo: Usipende kupekua simu ya mumeo kama yeye hapekui ya ya kwako.
Mi wifi yako kakoma kupekua simu yangu tangu alipopekua akakutana na picha za "postmortem"

Sahv hata simu ikiita hagusi
 
Unafahamu kazi anazofanya mmeo ? Kama ni jambazi au jasusi au gaidi nk
 
Back
Top Bottom