Tutengeneze nn Sasa wakati hataki, haelewi Asa kama amekubali nimtunze niwatunze na wazazi wake kwann nisimwite mke wangu japo yeye siwezi kumwita namwita hapa tu, juzi Kati Xmas nilimtumia mama yake hela alichukia Sana akasema kwann sikumpa mchungaji mmoja hivi simtaji jinaMkuu nionacho hapa ni mumeo anatoka sadaka nyingi ili kusindikiza maombi anayoomba ubadilike acha dharau kumuita mumeo mkeo ni dharau kisa hatoi matumizi? Ebu kaa na mumeo mtengeneze
naweza kukusaidia hapo kwenye tendo la ndoaNilisha wahi kuongea na mchungaji mmoja ambae ni rafiki yake lkn pia anahekima Sana wa madhehebu ya kipentekoste maana jamaa ni mlokole, lkn alipomwita kumshauri aliporudi nyumbani alinitukana Sana eti natoa siri za ndani
Umetisha mkuu,wewe mpango wako ni pochi manyoya.naweza kujusaidia hapo kwenye tendo la ndoa
Mambo,,pole sana usjari,,,ila nipo tayar kuwa nawe tuchepuke nipo tayar kukuridhisha ktk tendo la ndoa sitak kitu chochote kutoka kwako zaid kukuridhisha na kutia stressNaomba msaada wanaume na kama nakosea mnisamehe, mimi ni mwanamke nimeolewa ila mume wangu ni kama mke wangu yani mimi ni mume wake, amekuwa na tabia hizi hajishughulishi na Familia yake yani mke na watoto hivo namlisha namvika nakafanyia kila kitu na nisipofanya kana mdomo hako katanitukana kweli Kwasababu amenifanya kuwa mme wake hawezi kunipiga analalamika hadi analia, yeye anafanya kazi anapata hela ila akipata hela anazitoa zote kanisani sadaka, Hana Muda hata na tendo la ndoa analala anaomba sebuleni usiku kucha anaomba utajiri wakati huo mungu akimbariki kampa kitu anaenda kutoa vyote kanisani ananitegemea mimi kwa kila kitu kula, kujenga, kusomesha, majukum yote ya ndani kinachoniumiza mimi hela anapata, akipata anagawa zote amekuwa na utaratibu wa kutembea Hana hata senti tano mifukoni yani akikapata akakimbia mbio akaitoe akisha itoa ndo anatulia Hali hiyo imenifanya nimuone ni mke wangu na sio mme wangu, binafsi tangu amenioa mwaka wa 5 amewahi kunipa matumizi mara 2. Nimechoka Sana na Hali hii sisi ni wa kristo sio vizuri kuachana tutamkosea mungu ila natamani nijiachie na kibuzi naogopa kumkosea mungu naombeni mnishauri jamani niko hoi
Nilisha wahi kufanya hivyo akanambia nenda, nakuna kipindi nilijiunga kwa siza mtoto akafa hakukaa Nami alienda kulala kanisani lkn pia tukikosana ananiambia umesahau ulivyolia kipindi kile Ntakwambia mungu akupige Tena ulie hadi usije kusahau ktk maisha yako
Anaweza kuniambia tukamsalimie mchungaji flan tukaenda akanunua kilo 5 za sukari kwangu hajanunua afu asubuh anataka chai
Du!Sasa si utammaliza kabisa.Mambo,,pole sana usjari,,,ila nipo tayar kuwa nawe tuchepuke nipo tayar kukuridhisha ktk tendo la ndoa sitak kitu chochote kutoka kwako zaid kukuridhisha na kutia stress
Dada Yangu pole sana kwa hayo unayoyapitia , binafsi nimeumia sana.
Sijajua dini yako husika rasmi naamini we ni mkristo wa dini kati ya Rc au Anglican.pia naamini mlifunga ndoa rasimi kulingana na maelezo yako sasa ningekushauri anza na wasimamizi wenu wa ndoa , ikishindikana hapo mfuate mchungaji au padri mtashauriwa .
Inaonyesha jamaa anaweka mkazo kwenye mambo ya kiroho zaidi na majitoleo huku anasahau kuwa kanisa linatufundisha mafundisho ya kuishi kiroho na kimwili kama binadamu.
Mwenyezi Mungu amsamehe bure huenda hajijuii
He!Anaweza kuniambia tukamsalimie mchungaji flan tukaenda akanunua kilo 5 za sukari kwangu hajanunua afu asubuh anataka chai
Mpeleke MirembeNaomba msaada wanaume na kama nakosea mnisamehe, mimi ni mwanamke nimeolewa ila mume wangu ni kama mke wangu yani mimi ni mume wake, amekuwa na tabia hizi hajishughulishi na Familia yake yani mke na watoto hivo namlisha namvika nakafanyia kila kitu na nisipofanya kana mdomo hako katanitukana kweli Kwasababu amenifanya kuwa mme wake hawezi kunipiga analalamika hadi analia, yeye anafanya kazi anapata hela ila akipata hela anazitoa zote kanisani sadaka, Hana Muda hata na tendo la ndoa analala anaomba sebuleni usiku kucha anaomba utajiri wakati huo mungu akimbariki kampa kitu anaenda kutoa vyote kanisani ananitegemea mimi kwa kila kitu kula, kujenga, kusomesha, majukum yote ya ndani kinachoniumiza mimi hela anapata, akipata anagawa zote amekuwa na utaratibu wa kutembea Hana hata senti tano mifukoni yani akikapata akakimbia mbio akaitoe akisha itoa ndo anatulia Hali hiyo imenifanya nimuone ni mke wangu na sio mme wangu, binafsi tangu amenioa mwaka wa 5 amewahi kunipa matumizi mara 2. Nimechoka Sana na Hali hii sisi ni wa kristo sio vizuri kuachana tutamkosea mungu ila natamani nijiachie na kibuzi naogopa kumkosea mungu naombeni mnishauri jamani niko hoi