Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 897
- 2,409
Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha.
Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu
"Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake". (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)