Muigizaji wa Filamu ya Star Wars, 'Princess Leia' afariki dunia

1482871312748.jpg


Kwa wale wapenzi wa Star Wars tunahuzunika kwa kifo Cha Princess Leia (jina lake kamili Carrie Fisher).

Amefariki akiwa na umri wa miaka 60.

May the force be with you Princess Leia R.I.P

Vipi, Kylo Ren kamuua hadi maza wake tena???
Daaah!!Basi jamaa ni nyang'au kinoma!
Vipi Chewbacca naye atakuwa kapona kweli???
Hebu mcheki na yeye basi........
:D:D:D:D:D:D:D:D

Dear Carrie Fisher
May your Soul rest in Peace.
 
Back
Top Bottom