Muigizaji Brad Pitt asherehekea kutimiza miaka 60 na mtoto mbichi wa miaka 33

Si kweli mama mwenye miaka 30 hawezi kuwa mbichi hata kwa babu wa miaka 75.
Sio kweli maana yake nini?

Ubichi ama uzee wa mtu ni subjective. Wewe unaemuona mzee mwingine anamuona mbichi, wewe unaemuona mbichi wengine wanamuona mzee.

Achana na generalization syndrome.
 
Akianza kudaiwa maokoto marefu ya unyanyasaji etc msije mtukana huyo 33 mbichi
 
Sio kweli maana yake nini?

Ubichi ama uzee wa mtu ni subjective. Wewe unaemuona mzee mwingine anamuona mbichi, wewe unaemuona mbichi wengine wanamuona mzee.

Achana na generalization syndrome.
Neno mbichi ni adjective au kivumishi na matumizi halisi kwenye picha neno mbichi ni kitu ambacho hakijaiva so ukilitumia hilo neno tunategemea tuone chuchu saa sita,mtoto miaka 18 mpaka 20,no zebra marks etc.Tofauti ya miaka haimfanyi mwanamke awe mbichi.Ni sawa na kutuambia mzee wa miaka 85 akidate na mwanamke wa miaka 50 ni ana dem mbichi kisa tofauti ya age.
 
Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt.

Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa miaka 50+ ama 60? Sababu ni moja tu, men like young women, women's age has a negative psychology effects on a man's brain.

Women's age sometimes acts as natural Viagra. Kama mwanaume you need a young lady, young girl friend or concubine.


View: https://twitter.com/FoxNews/status/1736734314484711921?s=19

Huku miaka 60 wewe ni babu umestaafu unasubiri kufa.
Hapo angelina jolie akiona kiroho kinamuuma
 
Back
Top Bottom