Uzi ufungwe ugonjwa umejulikana na tiba imepatikana.Shida iko hapa na sio aina ya bia aliyoitaka
Uzi ufungwe ugonjwa umejulikana na tiba imepatikana.Shida iko hapa na sio aina ya bia aliyoitaka
KbsaaMademu wa bar ni wasen hawanaga huruma
Hmn mkuu Nina elf kumi hapa nikaona nae apige bia mbili badala yake anataka SavanaUjinga ni wako wewe umejipeleka mwenyewe
Wengine tunalipa ada January hii kweli kuna watu mnachezea pesa
KbsaaaaPole kiongozi, umekutana na mhudumu kausha damu
Nimeleta jukwaani kuelewa Hali halisi ya wahudumuSasa Unamwambia nani?
KafanyajeCC; Poshy Queen.
Ila kwa Kweli kutumia savan wkt mm natumiaa kik hpnAmekutajia kinywaji anachokunywa yeye, na sio unachokunywa wewe.
Kila mmoja na chaguo lake. Kama mfuko hauruhusu, basi mkaushie tu mkuu.
Nina kidg SanaHuna hela wewee
Hana chochote kuzuri kuzidi vyangu mmKawaida mkuu. Hapo anapima kama una pesa au walewale. Anajua unamtaka
Wanawake wanatumia hiyo njia kupunguza foleni ya wanaume. Kuomba vitu vya gharama kuliko maisha yao.
Ukitaka kujua thamani yake angalia
1. Msuko aliosuka au nywele alivyoziweka
2. Perfume anayotumia
3. Vito alivyovaa, kama cheni, hereni,saa n.k
4. Simu anayotumia
5. Jinsi anavyoongea. Mstarabu au ana maneno ya kiswahili
Ukiona havilingani na anachotaka kunywa ujue ni limbukeni. Achana naye huyo ni chuma ulete.
Ujajipanga wee ndio maana hunywi biaNani. Amekwambia sijajipanga?
Na wapi nimemlazimisha mtu?
Na ndio maana vijana humu wanaanzisha thread za kuwakashifu Mabinti 😂😂😂Niko napoteza siku na mpira wa man u hapa na AFCON Sasa mhudumu anae nihudumia nikaona nimpe nae ofa ya bia mbili eti badala ya kutumia local bia yeye ananiambiwa huwa anatumia Savana au Heneiken na pia boss wao hataki kuwaona wanatumia local bia nikamueleza embu tulia kwnza
Sasa mimi nakandamiza Kilimanjaro lager yeye antaka mimi nimlipie Savana mbili kwa elf 8000 kitu ambacho sifanyagi January kabisaa
Hoja
Naomba wahudumu muache kujipandisha madaraja na viwango na kuonekana Kama mnazimudu Bei za bia za nnje wakati uwezo wenu Ni kunywa cucar au highlife
Siwezi kununua Savana wakati mimi napiga kili Lager Kisha nizindikize na kisicha Cha nyagi wee unataka Savana na Heneiken haipo hiyo
Kwanza kademu kenyewe Ni kafupi Kama mtungi wa orxy
umeonaa eeh walivyo wanyonyajiAchana na kuwanunulia au waulize kabla ya kutoa offer.
Ajabu ni kuwa, mpaka mhudumu wa kiume, ukimpq offer ya bia 2, anakuletea bill ya sh 10,000 kwa bia zake, kaandika Corona beer....pumbavu!