dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,406
- 18,071
Shida iko hapa na sio aina ya bia aliyoitakaKwanza kademu kenyewe Ni kafupi Kam mtungi wa orxy
Kwani ulikua hujui january itafika?Hukujipanga wewe usilazimishe tufanane ukijipanga january ni ya kawaida kama miezi mingineUjinga ni wako wewe umejipeleka mwenyewe
Wengine tunalipa ada January hii kweli kuna watu mnachezea pesa
Amekutajia kinywaji anachokunywa yeye, na sio unachokunywa wewe.Niko napoteza siku na mpira wa man u hapa na afcon Sasa mhudumu anae nihudumia nikaona nimpe nae ofa ya bia mbili eti badala ya kutumia local bia yeye ananiambiwa huwa anatumia Savana au heneiken na pia boss wao hataki kuwaona wanatumia local bia nikamueleza embu tulia kwnza
Sasa mm nakandamiza Kilimanjaro lager yeye antaka mm nimlipie Savana mbili kwa elf 8000 kitu ambacho sifanyagi January kbsaa
Hoja
Naomba wahudumu muache kujipandisha madaraj na viwango na kuonekana Kam mnazimudu Bei za bia za nnje wakt uwezo wenu Ni kunywa cucar au highlife
Siwezi kununua Savana wkt mm napiga kili Lager Kisha nizindikize na kisicha Cha nyagi wee unataka Savana na heneiken haipo hyo
Kwanza kademu kenyewe Ni kafupi Kam mtungi wa orxy
Nani. Amekwambia sijajipanga?Kwani ulikua hujui january itafika?Hukujipanga wewe usilazimishe tufanane ukijipanga january ni ya kawaida kama miezi mingine
Ulaumiwe Natafuta Ajira ππKwanza kademu kenyewe Ni kafupi Kam mtungi wa orxy
π―Mademu wa bar ni wasen hawanaga huruma
Wakiwa wanajinunulia wenyewe hatuonagi wakinywa hizo Savannah, Heineken etcAmekutajia kinywaji anachokunywa yeye, na sio unachokunywa wewe.
Kila mmoja na chaguo lake. Kama mfuko hauruhusu, basi mkaushie tu mkuu.
Hata timu ikiwa ugenini huwa inabadili jezi mkuuWakiwa wanajinunulia wenyewe hatuonagi wakinywa hizo Savannah, Heineken etc