dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,406
- 18,070
Niko napoteza siku na mpira wa man u hapa na AFCON Sasa mhudumu anae nihudumia nikaona nimpe nae ofa ya bia mbili eti badala ya kutumia local bia yeye ananiambiwa huwa anatumia Savana au Heneiken na pia boss wao hataki kuwaona wanatumia local bia nikamueleza embu tulia kwnza
Sasa mimi nakandamiza Kilimanjaro lager yeye antaka mimi nimlipie Savana mbili kwa elf 8000 kitu ambacho sifanyagi January kabisaa
Hoja
Naomba wahudumu muache kujipandisha madaraja na viwango na kuonekana Kama mnazimudu Bei za bia za nnje wakati uwezo wenu Ni kunywa cucar au highlife
Siwezi kununua Savana wakati mimi napiga kili Lager Kisha nizindikize na kisicha Cha nyagi wee unataka Savana na Heneiken haipo hiyo
Kwanza kademu kenyewe Ni kafupi Kama mtungi wa orxy