Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 58,043
- 92,763
Hivi Comrade Kinana yupo kweli? Na Mwigulu nae? Ule ushahidi wake aliupeleka Mbinguni? HahahahWewe tena una kiwango kikubwa sana cha uilewa kumzidi hata Lema.
Hivi Comrade Kinana yupo kweli? Na Mwigulu nae? Ule ushahidi wake aliupeleka Mbinguni? HahahahWewe tena una kiwango kikubwa sana cha uilewa kumzidi hata Lema.
Kaka umeanza kumpigia mbuzi gitaa ukidhani atacheza? We waache tuu, utu na heshima zao wameshafungia kabatini.Hhaa that is too low kaka..... Usiwe brainwashed kwa kiasi cha kupoteza utu na heshima yako ndogo.
Hahahaaa Leo Nina muda wa kupoteza nae, naenda nae Mdogo Mdogo tuKaka umeanza kumpigia mbuzi gitaa ukidhani atacheza? We waache tuu, utu na heshima zao wameshafungia kabatini.
Kazi wamemaliza kushika dola, hapo hapo ulipo kunja ngumi kwa nguvu sana kisha zungusha nikisema Lowassaa hapo hapo ulipo itikia mabadilikooo sawa.Hivi Comrade Kinana yupo kweli? Na Mwigulu nae? Ule ushahidi wake aliupeleka Mbinguni? Hahahah
Kazi wamemaliza kushika dola, hapo hapo ulipo kunja ngumi kwa nguvu sana kisha zungusha nikisema Lowassaa hapo hapo ulipo itikia mabadilikooo sawa.
Lowasssssaaaaaaa!!
Teh teh teh nyumbu bana.
Teh teh teh!!Hahahaha!!! Tehe teh teh teh! Umenikumbusha mbali sana! Sasa hivi wale wazungusha mikono wa hapa jf unawakuta kwny thread za dawa za kuongeza nguvu za kiume!!
Ahsante kwa ushauri.MUHIMU: CHADEMA IMARISHENI KITENGO CHENU CHA PROPAGANDA VINGINEVYO TUTAWASAHAU.
Lile tapeli la kisiasaNilicheka sana Chadema walikuwa wanamtegemea Tabwe Hizza atawasaidia kuchukuwa dola.
Wingi wa wapiga mpropaganda za kijinga sio ujenzi wa chama makini.
Mbwa kumi wakibweka wana sauti kubwa lakini wenye hekima na maarifa watajali zaidi mwano (yowe) la mtu mmoja kuliko kelele za mbwa
Hivi ulisoma ukiachoandoka kabla ya kuposti? How much are paid for this kind of work? Kama wewe ni CCM raha yako si kuona Chadema inakwisha? Unajichanganya kwa kuwa huna akili timamu na shule yako ni ndogo sana.
Kaka umeanza kumpigia mbuzi gitaa ukidhani atacheza? We waache tuu, utu na heshima zao wameshafungia kabatini.
Hilo ni ndondocha tu!!Ahsante kwa ushauri.
Vipi hupendi kutusahau? Inaelekea tunakufurahisha sana.
Muhimu: KAMA UNADHANI CHADEMA ITASAHAULIKA BASI JUA UBONGO WAKO UNA AKILI YA USAHAULIFU