Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
Yan inasikitisha sana Mkuu kwel huyu ndio akawe doctor.Cheka huku ukisikitika,hao ndo wasomi wetu anatarajia akawe daktari huyo!!
Kuna haja ya kuongezea njia nyengne ya kuwatambua watakaoenda kusomea udaktar ukiachana na ufaulu tu