Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,034
- 7,591
Wahuni fulani hivi. Alafu ajabu hivi kwa mfano marekani kwenyewe mbona demokrasia inanyongwa hivyo? Kwanini hawataki kuruhusu na wao vyama vingine viongoze badala ya kila siku kubebana wao wenyewe democratic na republican, hiyo ndo demokrasia?Wadhungu ni wanani kwa tanzania??