Muangalia Mwanaume wa mkoani vs wa Dar

Yaani watu wa dar wanamisifu cnaa kwa maneno tu,unweza kimbia,nakumbuka nilipofika form five dah hawa jamaa hata kabla hatujaanza kusoma yaani anakwambia amekuja kupata zake dv one arudi zake dar,tena anasema alishamaliza syllabus mwisho wa Siku wengine hata hyo one hawaipati
 
Wanaume wa mikoani
 

Attachments

  • IMG_20160826_082831.jpg
    IMG_20160826_082831.jpg
    88.6 KB · Views: 42
Daah, wanaume Daslaam ni burudani sana aisee!
Kukimbia nako hamuwezi, ngumi ndo hamna kabisa hadi mnakimbizwa na watoto wadogo wanaojita panya road!
Kuna mmoja alikuwa sebuleni na familia yake wanakula ghafla mijuzi wakikimbizani kwenye ukuta wakaangukia mezani mzee na wanae wakatawanyika mbio hadi uvunguni kujificha
 
Mara ya kwanza kufika Dar iliniwia vigumu kujua mwanaume ni yupi na mwanamke ni yupi yaani wanafanana na dada zao kuanzia mavazi tembea kuongea kujipodoa nikamuuliza jamaa yangu akanijibu labda tuwaambie wavue nguo tuweze kuwatofautisha
Wanapenda kula urojo...
 
Sijawahi sikia wa mikoani kutoka na watoto wazuri kama akina wem hivi sijui nao sio wanaume .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom