Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,730
- 7,978
Rais wa Tandahimba! Hahahaaa Katani oyeeTandahimba one Katani one hata mkija kung'oa cc na cuf tu.

Mbona Mimi naishi mojawapo ya maeneo uliyotaja hakuna katizo la Umeme hata siku moja,na Ikitokea ni Massa machache kisha unalejea kwenye hali yake,huo uongo.....!!Katika hali isiyoeleweka sawa sawa miongoni mwa wananchi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani na Wilaya zilizoko Mkoa wa Mtwara, shirika la Umeme nchini limeanza Mgao Mkali wa Umeme kila siku.
Maeneo yanayoathirika zaidi ni Mangowela, Magomeni, Sabasaba, Maeneo ya stendi ya Mkoa na Gereza la Mkoa Lilungu pamoja na Mangamba, Masasi Mjini na Newala Mjini.
Hakuna afisa yeyote wa Tanesco aliyekuwa tayari kuzungumzia sababu za Mgao huu ambao huanza kila siku saa Moja usiku.
Mtwara ni mmoja kati ya mikoa ambayo haipo katika gridi ya Taifa na wananchi wamekuwa wakielezwa Chini kwa Chini kuwa Mgao huu ni matokeo ya wana Mtwara kutoichagua CCM katika uchaguzi mkuu wa Maana 2015.
Habari ambazo zimezagaa katika vijiwe kadhaa hapa Mtwara zinasema, maeneo ya Shangani na Indian Quarters ambayo hasa hukaliwa na viongozi wakubwa wa Chama na Serikali, hayakumbwi na mgao huo hivyo kuaminisha hisia za wananchi kuwa WANAKOMOLEWA.
Mgao huu una zaidi ya Mwaka sasa na wananchi wa Mtwara wanateseka huku Tanesco ikinyamaza kimya na kuacha wananchi wakiwa na sintofahamu huku wakihusisha mgao huo na matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2015
Kwa nini unasema hivyo?Mtwara hamjitambui
Tatizo la umeme la mikoa ya Mtwara na Lindi ni la kiufundi na linazungumzika.Katika hali isiyoeleweka sawa sawa miongoni mwa wananchi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani na Wilaya zilizoko Mkoa wa Mtwara, shirika la Umeme nchini limeanza Mgao Mkali wa Umeme kila siku.
Maeneo yanayoathirika zaidi ni Mangowela, Magomeni, Sabasaba, Maeneo ya stendi ya Mkoa na Gereza la Mkoa Lilungu pamoja na Mangamba, Masasi Mjini na Newala Mjini.
Hakuna afisa yeyote wa Tanesco aliyekuwa tayari kuzungumzia sababu za Mgao huu ambao huanza kila siku saa Moja usiku.
Mtwara ni mmoja kati ya mikoa ambayo haipo katika gridi ya Taifa na wananchi wamekuwa wakielezwa Chini kwa Chini kuwa Mgao huu ni matokeo ya wana Mtwara kutoichagua CCM katika uchaguzi mkuu wa Maana 2015.
Habari ambazo zimezagaa katika vijiwe kadhaa hapa Mtwara zinasema, maeneo ya Shangani na Indian Quarters ambayo hasa hukaliwa na viongozi wakubwa wa Chama na Serikali, hayakumbwi na mgao huo hivyo kuaminisha hisia za wananchi kuwa WANAKOMOLEWA.
Mgao huu una zaidi ya Mwaka sasa na wananchi wa Mtwara wanateseka huku Tanesco ikinyamaza kimya na kuacha wananchi wakiwa na sintofahamu huku wakihusisha mgao huo na matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2015
Katika hali isiyoeleweka sawa sawa miongoni mwa wananchi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani na Wilaya zilizoko Mkoa wa Mtwara, shirika la Umeme nchini limeanza Mgao Mkali wa Umeme kila siku.

Kama shida ni ya kiufundi na umesisitizwa usiiseme popote basi ujue hiyo ni ya uongo, anaogopa kunukuliwa.Kutaka kujua ukweli kuhusu kadhia hii
Nilimvutia uzi kwa Manager wa Tanesco Mtwara leo hii 6-Jan 2017 asubuhi....ila majibu aliyonipa na mnayotoa ya kufikirika hapa no tofauti sana. Issue ni ya kiufundi ila sitaweza kuitoa hadharani hapa
Sorry
Masaa machache ni kama mangapi hivi?Mbona Mimi naishi mojawapo ya maeneo uliyotaja hakuna katizo la Umeme hata siku moja,na Ikitokea ni Massa machache kisha unalejea kwenye hali yake,huo uongo.....!!
Mpaka leo nasikia mnatumia majenereta. Poleni sanaKwa nini unasema hivyo?
Naona wanatimiza lengo lao la kuufanya mgao uwe ndoto, maana tunaambiwa kuwa mara nyingi ndoto ni replay ya matukio ya nyuma au reenactment ya mawazo yaliyotawala ubongo wako. Sasa kwa jinsi huu mgawo unavyokuja, na jinsi kila mara tunavyofikiria kero na hasara zake, lazima tutakuwa tunauota usiku, hence ahadi itakuwa imetimia kuufanya mgao wa umeme kuwa ndoto."SIRIKALI hii itafanya mgao kuwa ndoto"..... ha haaa haaaa....wajinga ndo waliwao.
Asante kwa taarifa hiyo. Sasa sijui kama Baba wa Mapaka naye alipewa taarifa kama hii na meneja wake au ana version nyingine...Tatizo la umeme la mikoa ya Mtwara na Lindi ni la kiufundi na linazungumzika.
Mtwara na Lindi inatumia umeme unaozalishwa Mtwara kwa kutumia jenereta 9 za gesi, zenye uwezo wa kutoa megawati 2 (2MW) kila moja.
Jumla ya zote hizo hutoa megawati 18 (18MW).
Mahitaji ya umeme kwa sasa yanakaribia megawati 16 (16MW). Kiwango cha juu cha matumizi kilichorikodiwa ni megawati 15.6 (15.6MW).
Mpaka hapo, inaonekana umeme unatosha.
Sasa linakuja tatizo!
Jenereta moja lina karibu mwaka mzima halifanyi kazi!
Jenereta nyingine mbili zinazalisha kwa nusu kiwango.
Hii maana yake ni kwamba, megawati 4 (4MW) zimepungua.
Zimebaki megawati 14 (14MW)!
Tafsiri ya maelezo hayo ni kwamba lazima kuwe na mgao, maana mahitaji ni megawati 15.6 (15.6MW).
Na tatizo linazidi kuongezeka.
Mradi wa Umeme Vijijini awamu ya 3 (REA-3) umeanza kwa mikoa ya Mtwara na Lindi.
Mahitaji yataongezeka kuzidi megawati 20 (20MW).
Mgao utaongezeka zaidi.
TUJIULIZE...
Tanesco, ambayo imesheheni Wahandisi (Engineers) na Mafundi Mchundo (Technicians) lukuki, wanakuwa wapi jenereta linapoharibika mwaka mzima bila kutengenezwa?
Tanesco wanakuwa wapi majenereta mawili yanapozalisha kwa nusu kiwango bila matengenezo?
Tanesco, ambayo inakusanya mapato ya mabilioni kwa siku, inashindwaje kununua jenereta nyingine kama iliyoharibika haitengenezeki?
REA-3 imeanza ambayo tafsiri yake ni mahitaji zaidi ya umeme. Na REA kazi zao ni kusambaza umeme, siyo kuzalisha umeme. Tanesco wameandaa mkakati gani wa kuongeza uzalishaji wa umeme, hususan Mtwara na Lindi kunakotumika gesi na wala siyo maji yanayoathiriwa na tabia nchi?
Tatizo la umeme Mtwara na Lindi halina siasa ndani yake hata kidogo.
Tatizo la umeme Mtwara na Lindi ni matokeo ya UZEMBE USIOVUMILIKA WA MENEJIMENTI YA TANESCO.
Wadau na Wana-Jamvi tuuhimize Utawala mpya wa Tanesco utimize wajibu wao wa kitaaluma,
usiendekeze uzembe uliolelewa na kufanya kazi kwa mazoea.
1:4 sio bure...Niko ntwala umeme upo. Acheni uchochezi
Hahahaaa...ndo nnapowapendea watz...wanaambilikaKutaka kujua ukweli kuhusu kadhia hii