Kwa waliowahi kuishi au wenyeji wa Mtwara ni maeneno gani ambayo ukienda unaona kweli hapa ni ushuani kuna mijengo mikali mikali au sehemu ambazo kuna vyumba vizuri vya kupanga?
Maana daah kuna mitaa nimepita kutafuta vyumba mpaka nimevunjika moyo kuhusu kuishi huu mkoa, vyumba havina mvuto,halafu bei yake ni kubwa mpaka nimechoka.