Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,594
- 13,274
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengineRamani ya Mkoa wa Mtwara
Jiji la Dar es Salaam lilianza kama kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama Mzizima. Kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo kuelekea kwenye maeneo ya Bara la Afrika Mashariki kupitia njia za msafara zilizojulikana kama “Caravan Routes”. Ujenzi wa makao ya Sultani pamoja na bandari ulianza rasmi mwaka 1865 katika eneo la kijiji cha Mzizima. Ujenzi huo ulikamilika mwaka 1866, na Sultani Majid bin Said akaamua kuhamia Dar es Salaam mwaka huo.
Baada ya Sultani Majid bin Said kuhamia Dar es Salaam, mji ulianza kupanuka na uchumi wake kukua kwa kasi kubwa kwa muda mfupi hadi alipofariki mwaka 1870. Kifo chake kilisababisha kudorora kwa maendeleo ya mji. Hata hivyo, hali hiyo ilianza kubadilika mwaka 1884 kufuatia kuanzishwa kwa koloni la Wajerumani la Afrika Mashariki. Mwaka 1891, serikali ya kikoloni ya Kijerumani ilihamishia makao makuu yake kutoka Bagamoyo kwenda Dar es Salaam.
Mji wa Dar es Salaam uliendelea kuwa makao makuu ya utawala wa Waingereza baada ya Wajerumani kushindwa katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia mwaka 1916, hadi Tanganyika ilipopata uhuru wake mwaka 1961. Jiji hili lilikuwa makao makuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi mwaka 1972, wakati serikali ilipoamua kuhamishia makao yake makuu mjini Dodoma. Hata hivyo, Dar es Salaam iliendelea kuwa kitovu cha biashara na maarufu kama jiji kuu la Tanzania.
SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA MTWARA
UFAFANUZI WA TAKWIMU ZA MKOA
Mkoa wa Mtwara una jumla ya mamlaka za miji na wilaya ambazo zinahusisha maeneo mbalimbali ya utawala. Kwenye mamlaka za miji, kuna miji minne kuu: Masasi, Manispaa ya Mtwara (Mikindani), Nanyamba, na Newala. Jumla ya maeneo haya ina kata 65, mitaa 188, vijiji 166, na vitongoji 627. Kuhusu mamlaka za wilaya, kuna wilaya tano: Masasi, Mtwara, Nanyumbu, Newala, na Tandahimba. Jumla ya maeneo haya yana kata 126, vijiji 619, na vitongoji 2794. Kwa ujumla, mkoa wa Mtwara una jumla ya kata 191, mitaa 188, vijiji 785, na vitongoji 3421.
Zifuatazo ni Halmashauri zilizopo kwenye mkoa wa mtwara, majimbo na kata;
Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara
- Jimbo la Mtwara Vijijini
Madimba, Ziwani, Nanguruwe, Mahurunga, Mbawala, Msanga Mkuu, Tangazo, Msimbati, Nalingu, Moma, Dihimba, Muungano, Lipwidi, Mangopachanne, Mayanga, Naumbu, Mkunwa, Kitere, Ndumbwe, Libobe, Mpapura
Halmashauri ya mji wa Nanyamba
- Jimbo la Nanyamba
Mnima, Kitaya, Kiromba, Chawi, Kiyanga, Njengwa, Nitekela, Nanyamba, Mtiniko, Namtumbuka, Milangominne, Mbembaleo, Mtimbwilimbwi, Dinyecha, Nyundo, Mnongodi, Hinju.
Halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani
- Jimbo la Mtwara Mjini
Majengo, Chikongola, Likombe, Reli, Shangani, Vigaeni, Chuno, Ufukoni, Rahaleo, Naliendele, Magomeni, Mtawanya, Tandika, Jangwani, Kisungule, Mitengo, Mtonya, Magengeni
Halmashauri ya wilaya Newala
- Jimbo la Newala Vijijini
Mikumbi, Chihangu, Nambali, Mnyambe, Chilangala, Mkoma II, Nandwahi, Mnyeu, Kitangari, Chiwonga, Maputi, Muungano, Mpwapwa, Malatu, Mchemo, Mtopwa, Chitekete, Makukwe, Mkwedu, Mtunguru, Mdimba Mpelepele, Nakahako.
Halmashauri ya Mji wa Newala
- Jimbo la Newala Mjini
Luchingu, Makote, Mtonya, Namiyonga, Mnekachi, Mahumbika, Tulindane, Julia, Nangwala, Makonga, Mkulung'ulu, Nanguruwe, Mkunya, Mcholi I, Mcholi II, Mtumachi
Wilaya ya Masasi
- Jimbo la Ndanda
Chigugu, Mwena, Nanganga, Chiwata, Chikukwe, Nangoo, Chikundi, Ndanda, Namatutwe, Namajani, Mlingula, Chiwale, Lukuledi, Mpanyani, Msikisi, Chikunja
- Jimbo la Lulindi
Mkululu, Namalenga, Lulindi, Namwanga, Mitesa, Sindano, Mpindimbi, Mchauru Mnavira, Chikiropola, Makong'onda, Nanjota, Chiungutwa, Mbuyuni, Lipumburu, Mpeta, Lupaso, Mijelejele.
Mji wa Masasi
- Jimbo la Masasi Mjini
Mwenge Mtapika, Temeke, Mkuti, Nyasa, Marika, Mkomaindo, Mtandi, Jida, Migongo, Sululu, Chanikanguo, Napupa, Mumbaka, Matawale.
Wilaya ya Tandahimba
- Jimbo la Tandahimba
Kitama 1, Michenjele, Mihambwe, Mkoreha, Miuta, Tandahimba, Naputa, Namikupa, Nambahu, Malopokelo, Maundo, Mnyawa, Lukokoda, Kwanyama, Mchichira, Mkundi, Mahuta, Nanhyanga, Chingungwe, Chikongola, Dinduma, Mdimba Mnyoma, Milongodi, Chaume, Mndumbwe, Mkwedu, Lyenje, Mkonjowano, Luagala, Litehu, Ngunja, Mkwiti
Wilaya ya Nanyumbu
- Jimbo la Nanyumbu
Lumesule, Likokona, Napacho, Michiga, Mangaka, Nangomba, Sengenya, Chipuputa, Kilimanihewa, Mnanje, Mikangaula, Maratan, Nandete, Kamundi, Mkonona, Nanyumbu, Masuguru.
TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024
UPDATES
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini
- LGE2024 - ACT Wazalendo: Mawakala wa Vyama vya Siasa wanalazimishwa kwenda kuapa Halmashauri ambako ni mbali na maeneo wanayotoka
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Imekaaje ukurasa wa Tamisemi huko Twitter kueleza habari za Ilani ya CCM?
- LGE2024 - Ado Shaibu: Wasimamizi wa vituo vya uandikishaji wapiga kura kuwanyima mawakala kujua idadi ya waliojiandikisha ni bomu
- LGE2024 - Viongozi CCM wanataka kuchota fedha kwenye akaunti za vijiji kata ya Lulindi mkoni Mtwara kulipa mawakala wa CCM
- LGE2024 - TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?
- LGE2024 - CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi
- LGE2024 - Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya kuchukua na kurudisha Fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, siku zaongezwa
- LGE2024 - Amos Makalla: Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!
- LGE2024 - Hasnain Murji awahimiza wananchi Mtwara kujiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- LGE2024 - CUF: Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lilikuwa na dosari, tunashauri muda uongezwe
- LGE2024 - Meya Manispaa ya Mtwara ahimiza wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa kwa kuanzisha Ligi ya Kata Uchaguzi Ndile Cup
- Madiwani wasusia Baraza kisa matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mtwara
- LGE2024 - CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa
- LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Mtwara: Wagombea 350 waenguliwa kutona na sababu mbalimbali licha ya elimu kutolewa kwa makundi yote juu ya ujazaji wa fomu
- LGE2024 - Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi
TAARIFA ZA MIKOA MINGINE:
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
- LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- LGE2024 - Amos Makalla: CHADEMA hawakuwa na kura za maoni kupata wagombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa
- LGE2024 - Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki
IDADI YA WATU WALIOJIANDIKISHA
- LGE2024 - News Alert: - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024