Mtuhumiwa mkuu wa shambulio la Ufaransa akamatwa

Salah Abdeslam, yule mtuhumiwa mkuu wa Pariss attack amekamatwa jijini Brusseles Ubelgiji.

Amekuwa akitafutwa tokea mwezi November, 2015.
 

Attachments

  • 1458352632894.jpg
    1458352632894.jpg
    28.6 KB · Views: 27
Kinara wa mauaji ya mamia ya watu wasio na hatia waliokuwa restaurants na viwanja vya mpira Nov 13 2015 amekamatwa kwenye viunga vya mitaa ya kawaida ya walalahoi huko Belgium ambapo POLISI walikuwa katika kazi za kawaida na hawakudhani kuwa nyumba waliokuwa wakiikagua ilikuwa na watu wakiishi. Ndani mlikuwa na magaidi watatu, mmoja kauawa, mmoja kakimbia na watatu ndio kinara wa uandaaji wa suicide vests na mipango ya mauaji aitwaye S. Abdisalaam. Source, CNN
 
Back
Top Bottom