Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 31,688
- 53,641
Inasikitisha sana kwa polisi kuuwa blacks halafu jeshi nalo linawatumia blacks kuwapeleka front line kama Iraq na Afghan wakiwahimiza kuwa ni wazawa wakafie uzalendo wao
@nyaningabuDaa inauma Sana halafu mmakonde anajimwaya USA baby Na vibendera .watu wabaya Sana hawa shenz kabisa.
Mkuu hilo ni kweli. Wamarekani weusi huwa wanajiona kama wao siyo waafrica kuna mtu mwingine niliwahi kumsikia anasema like "I am not an African, I am American". Ila sehemu ambayo unaweza kwenda ukajisikia nyumbani ni Caribbean. Wale huwa wanajiona kama ni waafrica tu na wanatunza mila za Kiafrica.Wataendelea kudunguliwa mpaka hapo watakapojitambua kuwa wao ni Waafrika.
Huwa wanajiona kama sisi siyo ndugu zao.
R.I.P ma nigga.
Poa poa mkuuHayo yalikuwa ni maneno maarufu ya mMuhammad Ali alipotakiwa kwenda kupigana vita vietnam
i love Africa, i love my home.
si warudi Africa, wanang'ang'ana na USA BABY ya nini?
Hivi kwann mijitu meusi ya huko hailipizi kisasi kwa wazungu? Kwann kila siku majiji kama Chicago, NY, LA na kwengineko ni undava na mauaji baina ya weusi kwa weusi? Kwann huu utemi na ukorofi wao mtaani wasihamishie kwa hawa polisi makatili wa kizungu? Sielewi hii makitu kabisa.. Poleni sana weusi wenzetu wa huko..
Nyani Ngabu hebu njoo huku nyiokunda anakunangaDaa inauma Sana halafu mmakonde anajimwaya USA baby Na vibendera .watu wabaya Sana hawa shenz kabisa.
Si warudi nyumban africa!
Mkuu, mi ni miongoni mwa walioko nje ya Africa, ila je ushawahi jiuliza kwanini tunaondoka Afrika?.
We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces.